Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa sio mshabik wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili
242a3c70d9c199f8a83f481f04d1af15.jpg
ada4b59f4efe73b11fe002daf9a36f1e.jpg
995cdf5c6e3114484718f87d5f10737c.jpg
 
Hivi tukiwaitaga wa mikoani mnaonaga kama watu wa Dar tuna dharau nadhani leo ndio mtajuwa kwamba hakunaga kama Bongo Darisalama.
Nadhani na kamati ya maandalizi haikuwa na fedha za kutosha kuandaa ikaona ipeleke mkoani na mwisho wa siku inaonekana shughuli haikufana kwa kuwa imefanyika mkoani lakini kwa upande mwingine hata wanaohusika hawakujiandaa vya kutosha na ndio maana hata burudani ni za kichina, kama muandaaji amejipanga hata kama ingefanyika Kilwa Kipatimu pangenoga tu
 
MISS TANZANIA 2016

JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9

Ingawa sio mshabik wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili
Ntaomba msaada wa C14 kama inawezekana kusaidia kwa viumbe hai
 
miss tz alionesha maendeleo mazur darasan so walimu wakaamua kumshift toka la kwanza hadi la sita
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] duuu shule gn inarukisha madarasa hvyo nimpeleke nami mwanangu maana ana akilii Sana'a.hiiii ndio bongo kwel bongo n nyosooo
 
Kwa abaye hjafanikiwa kuangalia miss tanzania 2016 link hii hapa..


 
Mnaotukana wasukuma mungu anawaona kamati ya miss Tanzania asilimia 80 ni dsm
 
Huyo miss tanzania avuliwe taji kwa kuwadanganya watanzania amesema ana degree na ana miaka 18 sasa naomba kuuliza kwa matokeo haya ni degree ambayo amepata
d9e0a71d362eba1eaca33aaf49258b22.jpg
 
57e5cb107255b011f2b70e55e4044808.jpg


Twende mbele turudi nyuma, huyu mwanamke ni mbaya aisee, alafu sijui wanatumia vigezo gani kuchagua mshindi.

Naskia ana degree lakini umri wake ni 18 (elimu ya bara )
[HASHTAG]#wacha[/HASHTAG] vituko viendelee [emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom