mzuri anatosha kutuwakilisha. Zile wigi na mirangi rangi anayopaka mdomoni vinamzeesha.Miss Tanzania
View attachment 426557
Nadhani na kamati ya maandalizi haikuwa na fedha za kutosha kuandaa ikaona ipeleke mkoani na mwisho wa siku inaonekana shughuli haikufana kwa kuwa imefanyika mkoani lakini kwa upande mwingine hata wanaohusika hawakujiandaa vya kutosha na ndio maana hata burudani ni za kichina, kama muandaaji amejipanga hata kama ingefanyika Kilwa Kipatimu pangenoga tuHivi tukiwaitaga wa mikoani mnaonaga kama watu wa Dar tuna dharau nadhani leo ndio mtajuwa kwamba hakunaga kama Bongo Darisalama.
Ntaomba msaada wa C14 kama inawezekana kusaidia kwa viumbe haiMISS TANZANIA 2016
JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9
Ingawa sio mshabik wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] duuu shule gn inarukisha madarasa hvyo nimpeleke nami mwanangu maana ana akilii Sana'a.hiiii ndio bongo kwel bongo n nyosooomiss tz alionesha maendeleo mazur darasan so walimu wakaamua kumshift toka la kwanza hadi la sita
ameumbwa kwa mfano wa Mungu, usimseme mwenzako hivyo hajajiumba lolMCs sura ngumu kama ngozi ya ugoko
Hivi lazima weseme wamemaliza degree? Akisema bado anasoma atapungukiwa na nn?hili nalo jipumiss tz alionesha maendeleo mazur darasan so walimu wakaamua kumshift toka la kwanza hadi la sita
Mkulu anapoamua kufanya uhakiki tumuelewe tu sbb tangu nimeanza shule hii naisikiaga tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] duuu shule gn inarukisha madarasa hvyo nimpeleke nami mwanangu maana ana akilii Sana'a.hiiii ndio bongo kwel bongo n nyosooo
Hahahahq tisha xana mkuuBora ingepelekwa Bukoba najua wahaya wenzangu wangeionyesha dunia nn sisi ni kina nani.
Hakuna kituBora clouds kidogo wanaonyesha vzuri
Hahaha sio majina yamefanana mkuuHuyo miss tanzania avuliwe taji kwa kuwadanganya watanzania amesema ana degree na ana miaka 18 sasa naomba kuuliza kwa matokeo haya ni degree ambayo amepata