Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Nadhani uhakiki uendelee kwa miaka Mitano mbele ......hakuna ajira [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo wakimchunguza utasikia ana mtoto yupo minjingu au loliondo
Hahaaaa hapo itakuwa kufuru sasa, inabidi waendeshaji na miss mwenyewe wafungwe tu maana hapo watakuwa wamefanya udanganyifu wa hali ya juu
 
Ifike mahali serikali itunge sheria ya kuwazaba risasi za vichwa watu wa sampuli hii!!
 

Una uthibitisho gani juu ya tuhuma hizi??

Hebu weka document husika ili nijue cha kuchangia coz watanzania ni wazuri kwa kuropoka ili wajulikane wanajua mambo pasi na vielelezo.
 
Huyo Sasa Hivi Ndiyo Lundenga Wetu Maana Haa
Amepita Kwenye Vigezo Vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…