Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Dodoma hakuna kitu,27 Anitha ni zirooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
huyu cheusi mangala 18 anajiamini balaa ila namba 27 mkali wangu atashinda
 
Dayana Malikita amejibu maswali vizuri ila mbayaaaa!!amepandana meno kama mimi[emoji38][emoji38][emoji38]
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hivi hairuhusiwi kuongea kiswahili kwenye hili shindano?
Ninaamini Raisntuko naye live atakemea huu utumwa wa lugha. Watu wanakariri tu wakati wangetumia kiswahili wana uwezo mkubwa tu,bona wachina wameshinda miss world na walikuwa wanaongea Kichina?
 
Back
Top Bottom