MC7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 592
- 489
Itakua aiseeeh atakua amechukua mshiko mzur maana kawagomea back stej. Itakua dau walimpandshia zaid.Jojo kashtukizwa tu mc alikua yule mkaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua aiseeeh atakua amechukua mshiko mzur maana kawagomea back stej. Itakua dau walimpandshia zaid.Jojo kashtukizwa tu mc alikua yule mkaka
hana mimba kweli?Kamazima endelea hivyo hivyo, hatusikii drama za ovyo. Mfano wa kuigwa
Issue ya sitti ilianziaga JF kwenye updates kama hivi lemutuz alidakia tuNano yule tema Sitti, hatamsahau le mutuz angekuwa jukwaani now.
Liliani huwa nikibonge tena kapungua ila miss world alijitaidi kuingia top ten ya beautiful with purpose sema wa Indonesia ndo alishinda na kuingia top five ya miss worldnadhani ana mimba amevimba sana
Issue ya sitti ilianziaga JF kwenye updates kama hivi lemutuz alidakia tu
hahaha.sio.kwa kala hio wallah
Ndo ikasambaa mitandao mingineKumbe cheers
peoplees