Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

mashindano makubwa kama haya hayawezi kupelekwa katika vimiji vidogo, kwa tanzania miji ya dar na mwanza pekee inayoweza kuandaa kitu kikubwa kama hiki. dar ishafanyika mara 22 kwa hiyo sasa ni zamu ya mwanza mfurulizo afu litarudi dar, kwa baadae tutaifiria dodoma
 
Kichwa kimejieleza,miss tanzania hata hafai kuwakilisha taifa mbaya hata sio mrembo.
 
Back
Top Bottom