Miss Tanzania Kimenuka

Miss Tanzania Kimenuka

Shikamoo kaka Jambazi...ma.ni.na walah dah
 
Idara ya Uhamiaji, ichunguze nyaraka alizotumia kuomba pasi, na kama aligushi basi ni kosa na afikishwe mahakamani. Kingine kama aligushi hata kuomba pasi, hivi kweli ana hadhi ya kubeba bendera ya Taifa?
 
mkuu bendera ya taifa hili itabeba tu, wale mabondia wauza unga mbona walibebeshwa na wakabeba? Walimsakama kihiyo akaachia ngazi now sitti ni zamu yake, lakini binti kakomaa kweli na mkanda wake wa miss kudaddeki lazima si mzima kichwani yule.
 
Nyule mama ake nae ----- kweli, eti mlitaka kunijua mamaake siti mmenijua, nimefunga mjadala mwanangu yuko chini ya kamati siongelei maswala yake, pyuuu, hivi yule mama mbona kapauka sana ngozi kavu kwelikweli mtenvu hampi matunzo au maana mh! kavurugika mwili na manywele makavuu, anataka mwanae aopoe pedeshee apeleke hela home wameumbuka.
 
let us wait and see.......... maana ile press conference ndio wamevurunda zaid

Emwenzangu eti ohh kama mnataka mthibitishe kama sina mtoto twendeni hospitali, kufanya nini akachunguzwe nini? na wangemkomalia angeenda, pale ndio kajipaisha zaidi kuwa yeye ni muongo mkuu mpaka vimacho vimekuwa vidogo
 
Money Money.... This chick could follow you to hell if uou paid her....lol.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Emwenzangu eti ohh kama mnataka mthibitishe kama sina mtoto twendeni hospitali, kufanya nini akachunguzwe nini? na wangemkomalia angeenda, pale ndio kajipaisha zaidi kuwa yeye ni muongo mkuu mpaka vimacho vimekuwa vidogo

Wamejiabisha

Saga.linaendelea
 
Nina wasiwasi na kichwa cha Lundenga pia!

Lundenga ashakula vitu vya watu, papuchi na hela..
na tayari amesha honga hizo pesa.. Akimvua u-miss atatoa wapi pesa za kurudisha??
 
  • Thanks
Reactions: kui
Nyule mama ake nae ----- kweli, eti mlitaka kunijua mamaake siti mmenijua, nimefunga mjadala mwanangu yuko chini ya kamati siongelei maswala yake, pyuuu, hivi yule mama mbona kapauka sana ngozi kavu kwelikweli mtenvu hampi matunzo au maana mh! kavurugika mwili na manywele makavuu, anataka mwanae aopoe pedeshee apeleke hela home wameumbuka.

mwezangu mama alinishangaza
 
mkuu bendera ya taifa hili itabeba tu, wale mabondia wauza unga mbona walibebeshwa na wakabeba? Walimsakama kihiyo akaachia ngazi now sitti ni zamu yake, lakini binti kakomaa kweli na mkanda wake wa miss kudaddeki lazima si mzima kichwani yule.

Tanzania Tanzania aaa nakupenda kwa MOYO woteee
 
Haya anayetaka kubisha abishe eti ni passport feki

Kumekucha nimetumiwa na mtu whatsapp aliyetoa huko instagram

Well done waTanzania mnaohangaikia haki na siobwatu kudanganywa kijinga.

Na proof hii wakikana basi tena aagghhhh internet is the wow forever
 
Haya na haya yawasaidie pia
 
Attachments

  • 1414100184671.jpg
    1414100184671.jpg
    48.5 KB · Views: 213
  • 1414100195331.jpg
    1414100195331.jpg
    47.8 KB · Views: 211
hakuna kitakachofanywa hili swala lina siasa ndani yake tena usije shangaa baadhi ya magazeti kuomba radhi kumchafua mtoto wa mheshimiwa
 
Back
Top Bottom