Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idara ya Uhamiaji, ichunguze nyaraka alizotumia kuomba pasi, na kama aligushi basi ni kosa na afikishwe mahakamani. Kingine kama aligushi hata kuomba pasi, hivi kweli ana hadhi ya kubeba bendera ya Taifa?
let us wait and see.......... maana ile press conference ndio wamevurunda zaid
let us wait and see.......... maana ile press conference ndio wamevurunda zaid
Emwenzangu eti ohh kama mnataka mthibitishe kama sina mtoto twendeni hospitali, kufanya nini akachunguzwe nini? na wangemkomalia angeenda, pale ndio kajipaisha zaidi kuwa yeye ni muongo mkuu mpaka vimacho vimekuwa vidogo
Money Money.... This chick could follow you to hell if uou paid her....lol.
Nina wasiwasi na kichwa cha Lundenga pia!
Nina wasiwasi na kichwa cha Lundenga pia!
Nyule mama ake nae ----- kweli, eti mlitaka kunijua mamaake siti mmenijua, nimefunga mjadala mwanangu yuko chini ya kamati siongelei maswala yake, pyuuu, hivi yule mama mbona kapauka sana ngozi kavu kwelikweli mtenvu hampi matunzo au maana mh! kavurugika mwili na manywele makavuu, anataka mwanae aopoe pedeshee apeleke hela home wameumbuka.
mkuu bendera ya taifa hili itabeba tu, wale mabondia wauza unga mbona walibebeshwa na wakabeba? Walimsakama kihiyo akaachia ngazi now sitti ni zamu yake, lakini binti kakomaa kweli na mkanda wake wa miss kudaddeki lazima si mzima kichwani yule.