Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''

Kuna uraia wa aina nyingi.na mpaka aliingia kwenye kinyang'anyiro wahusika hawakuona?
 
Wabongo wengne wabagaz sana, mtoto kazaliwa na kasoma bongo,Baba yake alikuwa General wa jeshi,ss unataka aende nchi gan?hao waandaji hawakuja yote hayo!tukikuchunguza vzur mtoa mada inawezekana usiwe raia,kuna waindi kibao bongo nao sio raia wa Tanzania kwa sababu wana asili ya India
 

Huyo general ni kachero wa rwanda aliyepandikizwa na kagame kuja kuidukua tz! mengine utajua mwenyewe
 

Huyo general ni kachero wa rwanda aliyepandikizwa na kagame kuja kuidukua tz! mengine utajua mwenyewe

hutaki acha kama ilivyo
 

Huyo mtoto c wanaduka l nguo stand ndogo maza wke ni mchaga duka limeandikwa mwanamwana wanakaa mbauda
 

Hebu mwambie huyo mbaguzi aliyekubuhu atakua katumwa si bure
 

Mbna kma mnamiksi mambo huyo binti wazazi wke wanakaa arusha mbauda.istoshe baba yke yupoyupo 2 ila mama ndio mpambanaji sana wana duka l nguo stand ndogo,huyo baba yke hajawahi kua jeshini alikua anafanya kazi bank miaka y nyuma
 
We have lots of time to waste...Uraia wa Gen ambaye ametumika kwa mambo mbalimbali mpaka anakufa anaulizwa mtoto wake aliyezaliwa hapa hapa bongo....Interesting
 
Wanataka kutoa watu kwenye mada kuu.Hela hajarudisha pamoja na mataji ya Temeke na kitongoji

tumkomalie na hayo ayarudishe, baada ya hapo arudi mbio marekani bongo amenuka, bibi bomba.
 
mbona sijawahi kusikia Miss kutoka Zanzibar?au si Tanzania ile?
we! kule yalipigwa marufuku hawataki watembea uchi, rais wao alisema wasichana wote wa zanzibar ni warembo. Hataki kusikia hayo mashindano.
 

Hii ni point! Ila hata kwa sheria za uraia za Tanzania zinavyosema ni ngumu kumvua hilo taji kwa kigezo cha uraia, maana sheria ya uraia inasema " ikiwa mtoto kazaliwa Tanzania, wakati mmoja wa wazazi wake ni Mtanzania basi mtoto huyo atahesabiwa ni mtanzania" na hata akizaliwa nje ya Tanzania huku mzazi wake mmoja tu, akiwa ni Mtanzania basi mtoto huyo ni Mtanzania. hivyo hili la uraia iatakuwa vigumu kuthibitisha kuwa wazazi wake wote si watanzania. Issue ipo ESCROW na Meno ya tembo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…