Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''

Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''

Kaulize Mhaya yeyote ni nini maana ya kamazima? ka-mazima,owa-mazima! Naona huyu chotara wa Kihaya na Kichagga kushinda U-miss Tz imekuuma sana!

Bukoba Karagwe kumejaa wanyarwanda wanajifanya wahaya... huyu ni mmojawapo
 
Fanya utafiti na unacho andika hapa na baada ya hapo linganisha na utumbo umeandika hapa.

Nimeishi bukoba Karagwe na uhakika ninachosema. Kuanzia karagwe mpaka Ngara kumejaa wanyarwanda watupu
 
Huyo general ni kachero wa rwanda aliyepandikizwa na kagame kuja kuidukua tz! mengine utajua mwenyewe

Masihara hayo, gen Kamazima yuko jeshini kabla kagame hata hajawa muasi, nafikiri alikuwa bado shuleni, labda kk jambazi kipindi hicho ulikwa bado kwenye mguko wa k,or.o..dani! Maana kwa mtu anaejua hawezi kukurupuka na kuchangia km ulivyofanya wewe na baadhi ya wachangiaji wengine.
 
Mashindano ya Mamiss yanafichua uozo mwingi ndani ya serikali yetu,kiasi kwamba watu wenye vigezo vya ushindi wanakosa sifa kutokanana mfumo mbovu wa utambuzi wa raia wa Tanzania,kuanzia kwenye michezo hadi siasa.
Huyo mrembo naye atakuwa na birth certificate kama mwenzake iliyo chakachuliwa.RITA wajichunguze kama waendelee na majukumu yao au ni mda muafaka wakapisha Watanzania wengine wenye nia ya dhati.
 
%%% Tanzania wonders haziishiii...hahaaaaaaaaaaa....!!!!
 
Nimeishi bukoba Karagwe na uhakika ninachosema. Kuanzia karagwe mpaka Ngara kumejaa wanyarwanda watupu

Nilitaka kukwambia u-google kumbe sasa kama umewahi ishi Bukoba na Karagwe sasa tumia source zako kuuliza kama jina Kamazima ni la Kihaya ama Kinyarwandwa. Pili uliza kama Kamazima wa Maruku ni Mnyarwanda. Kumbuka huyu ni jirani yao akina Jaji Francis Mutungi,Professa Baregu,Benson Bana,nk. Nakutajia hawa wachache ili wakusaidie ktk utafiti wako!
 
Masihara hayo, gen Kamazima yuko jeshini kabla kagame hata hajawa muasi, nafikiri alikuwa bado shuleni, labda kk jambazi kipindi hicho ulikwa bado kwenye mguko wa k,or.o..dani! Maana kwa mtu anaejua hawezi kukurupuka na kuchangia km ulivyofanya wewe na baadhi ya wachangiaji wengine.

Mkuu Mimi nimeuliza swali kama lako lkn kwasababu wahusika ama ni wazushi ama wajinga wanakurupuka kuchangia ujinga wao hapa. Hizi ndizo products za elimu mbovu.
 
Nilitaka kukwambia u-google kumbe sasa kama umewahi ishi Bukoba na Karagwe sasa tumia source zako kuuliza kama jina Kamazima ni la Kihaya ama Kinyarwandwa. Pili uliza kama Kamazima wa Maruku ni Mnyarwanda. Kumbuka huyu ni jirani yao akina Jaji Francis Mutungi,Professa Baregu,Benson Bana,nk. Nakutajia hawa wachache ili wakusaidie ktk utafiti wako!

Mkuu. kuna muingiliano mkubwa sana wa majina kati ya waganda, wanyarwanda na wahaya. mfano watu wa kabila la kalinjin uganda, watutsi wa rwanda na wanyambo wa bukoba wanafanana kuanzia sura, maumbo na majina, Hilo jina la kamazima hata rwanda lipo.. Nawajua sana hawa watu.
 
Nimeishi bukoba Karagwe na uhakika ninachosema. Kuanzia karagwe mpaka Ngara kumejaa wanyarwanda watupu
Na kama umeishi huko utagundua watu wa huko wanafanana kuanzia sura hadi majina na wanywarwanda na kama ukiibuka toka sehemu nyingine utapata shida kutofautisha.
 
ni mnyarwanda

Mkuu acha ubaguz Oboma mwenyewe Baba yake ni mkenya lakn ni rais wa Marekan,Dunia ya sasa haiendi hvyo sasa wewe hauna prove yoyote kama binti ni mnyarwanda na hata kama Baba yake ni mnyarwanda serikal ndio ingawajibika kwa hilo sio wewe
 
Na kama umeishi huko utagundua watu wa huko wanafanana kuanzia sura hadi majina na wanywarwanda na kama ukiibuka toka sehemu nyingine utapata shida kutofautisha.

Kweli kabisa.. ni vigumu sana kuwatofautisha wahaya wa karagwe na wanyarwanda. wanafanana sana.
 
Back
Top Bottom