Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''

Kaka Jambazi hebu tufaamishe ww unatoka ukoo gani na mkoa upi, isije ikawa na ww ni walewale
 
na bagamoyo ni masalia ya watumwa dhaifu walioshinwdwa kuendelea na msafara!! ha ha ha ha!
 
Huyo general ni kachero wa rwanda aliyepandikizwa na kagame kuja kuidukua tz! mengine utajua mwenyewe

hutaki acha kama ilivyo

Naona una hamu kuolewa kagame eeh!
 
Hata General Mboma ana undugu na yule soccer star wa cameroon patrick mboma
 
Mbna kma mnamiksi mambo huyo binti wazazi wke wanakaa arusha mbauda.istoshe baba yke yupoyupo 2 ila mama ndio mpambanaji sana wana duka l nguo stand ndogo,huyo baba yke hajawahi kua jeshini alikua anafanya kazi bank miaka y nyuma

Wanasema ni Jenerali wewe unasema hajawahi...kukimbia mchakamcha siku 14 masaa 24 kila siku fululizo bila kusinzia ?
 
Wanasema ni Jenerali wewe unasema hajawahi...kukimbia mchakamcha siku 14 masaa 24 kila siku fululizo bila kusinzia ?

Huyo binti kwao nawajua cz nina mdogo wangu anaduka jirani yao baba yke n muhaya mana yake mchaga,huyo mzee hajawahi kua mwanajeshi pia binti yke mkubwa kaolewa n mwanajeshi
 
Huyo general ni kachero wa rwanda aliyepandikizwa na kagame kuja kuidukua tz! mengine utajua mwenyewe

hutaki acha kama ilivyo

Marehemu Major Gen. Anatory Kamazima ni mzaliwa wa Bugashani Maruku Bukoba Vijijini. Ukifika pale kwao utakuta mpaka kaburi la Babu yake. Ni kutoka ktk ukoo wa Bahinda ambao walitawala Chiefdom ya Maruku Bukara!

Vijana mpende kutafiti kala ya kukurupuka na kuandika tuhuma za hovyo na kijinga. Kamazima na Kagame wapi na wapi??
 
Huyo binti kwao nawajua cz nina mdogo wangu anaduka jirani yao baba yke n muhaya mana yake mchaga,huyo mzee hajawahi kua mwanajeshi pia binti yke mkubwa kaolewa n mwanajeshi

Ni jina tu hana mahusiano na familia ya marehemu Gen. Kamazima.
 
Ukimwangalia hata binti mwenyewe amekaa kinyarwanda kabisaaa
 
Tukifanya uchunguzi mtanzania halisi Ni mgogo Tu wengine wote wahamiaji.
 
kwa hiyo wanyarwanda na warundi wote waliozaliwa kipingi cha mauhaji ya kimbali ni watanzania kisa wamezaliwa tanzania???????????
yap ni watanzania by birth
 
Kuna uraia wa aina nyingi.na mpaka aliingia kwenye kinyang'anyiro wahusika hawakuona?

Mbona hujiuluzi kama wahusika hawakuona dosari ya umri wa Sitti Mtemvu? Unadhani wangeona wa huyu Lilian?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…