Kamazima ni jina la kinyarwanda kabisa
Kaulize Mhaya yeyote ni nini maana ya kamazima? ka-mazima,owa-mazima! Naona huyu chotara wa Kihaya na Kichagga kushinda U-miss Tz imekuuma sana!
Huyu lilian ni MNYARWANDA original.. Ndugu yake na Kagame
Bukoba Karagwe kumejaa wanyarwanda wanajifanya wahaya... huyu ni mmojawapo
Fanya utafiti na unacho andika hapa na baada ya hapo linganisha na utumbo umeandika hapa.
na bagamoyo ni masalia ya watumwa dhaifu walioshinwdwa kuendelea na msafara!! ha ha ha ha!
Huyo general ni kachero wa rwanda aliyepandikizwa na kagame kuja kuidukua tz! mengine utajua mwenyewe
Huyo general ni kachero wa rwanda aliyepandikizwa na kagame kuja kuidukua tz! mengine utajua mwenyewe
Sasa huyo binti anauska vp?
Teh te teeeee chezea miss tz ww karibu atashindanishwa mzungu sasa na taji atavishwa
Nimeishi bukoba Karagwe na uhakika ninachosema. Kuanzia karagwe mpaka Ngara kumejaa wanyarwanda watupu
Masihara hayo, gen Kamazima yuko jeshini kabla kagame hata hajawa muasi, nafikiri alikuwa bado shuleni, labda kk jambazi kipindi hicho ulikwa bado kwenye mguko wa k,or.o..dani! Maana kwa mtu anaejua hawezi kukurupuka na kuchangia km ulivyofanya wewe na baadhi ya wachangiaji wengine.
Nilitaka kukwambia u-google kumbe sasa kama umewahi ishi Bukoba na Karagwe sasa tumia source zako kuuliza kama jina Kamazima ni la Kihaya ama Kinyarwandwa. Pili uliza kama Kamazima wa Maruku ni Mnyarwanda. Kumbuka huyu ni jirani yao akina Jaji Francis Mutungi,Professa Baregu,Benson Bana,nk. Nakutajia hawa wachache ili wakusaidie ktk utafiti wako!
Na kama umeishi huko utagundua watu wa huko wanafanana kuanzia sura hadi majina na wanywarwanda na kama ukiibuka toka sehemu nyingine utapata shida kutofautisha.Nimeishi bukoba Karagwe na uhakika ninachosema. Kuanzia karagwe mpaka Ngara kumejaa wanyarwanda watupu
ni mnyarwanda
Na kama umeishi huko utagundua watu wa huko wanafanana kuanzia sura hadi majina na wanywarwanda na kama ukiibuka toka sehemu nyingine utapata shida kutofautisha.
Kwani hakujawai kuwa na miss Tanzania mhndi au memory yako imekufa
ni mnyarwanda