Arudi marekani akafanye plastic surgery ya uso uonekane wa kitoto maana ameshawezeshwa financially, ili akienda miss world aonekane mdogo maana ile sura iliyoonekana kwenye press confrence hapana, haimshawishi mtu kuwa yule ni binti.
Sita ndio Mr Tanzania bora kuliko wote waliopitaSiti ndio miss Tanzania bora kuliko wote waliopita
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh?????????????????
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh?????????????????
Shangingi....kuna picha za graduation alikuwa na baba na mama ake Usa...mavazi ya beach amevaa ukumbini' yule abbas mtemvu hana aibu kbsaa mtoto kamkalia uchi nae anakenua
Eti kisa wako america
Ushaziona hizo picha? Hata kuziweka hapa aibu tupu

africa bambataaaaa bonge bonge halafu linapenda kukaa uchi wakati ni toto la kiislamu
Habari ambazo zinasambaa hasa kwa whatsapp ni kwamba Sitti Mtemvu,miss Tanzania (bibi bomba) anamzidi mdogo wake miezi 7.Hii imesemwa na marafiki wa mdogo wake na miss Lundenga.
Taarifa zaidi zinafata(Hii ni tetesi)
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh?????????????????