Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Arudi marekani akafanye plastic surgery ya uso uonekane wa kitoto maana ameshawezeshwa financially, ili akienda miss world aonekane mdogo maana ile sura iliyoonekana kwenye press confrence hapana, haimshawishi mtu kuwa yule ni binti.
Kweli...yule ni bibi kabisa...sijui alikosa japo make up???bora ile Siku aliyoshinda kidogo alipendeza...