Miss Tanzania Sitti Mtemvu anamzidi mdogo wake miezi 7

Miss Tanzania Sitti Mtemvu anamzidi mdogo wake miezi 7

Arudi marekani akafanye plastic surgery ya uso uonekane wa kitoto maana ameshawezeshwa financially, ili akienda miss world aonekane mdogo maana ile sura iliyoonekana kwenye press confrence hapana, haimshawishi mtu kuwa yule ni binti.

Kweli...yule ni bibi kabisa...sijui alikosa japo make up???bora ile Siku aliyoshinda kidogo alipendeza...
 
Hii habari nimecheka sana.. miezi saba majanga., ila njia ya muongo siku zote nifupi. I think more to come
 
If she will ever go to contest on the world stage Tanzania will be the first country to have its contestant disqualified..as far as I know.
 
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh?????????????????
 
Attachments

  • 1414497275910.jpg
    1414497275910.jpg
    17.8 KB · Views: 344
  • 1414497288870.jpg
    1414497288870.jpg
    15.9 KB · Views: 343
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh?????????????????

Shangingi....kuna picha za graduation alikuwa na baba na mama ake Usa...mavazi ya beach amevaa ukumbini' yule abbas mtemvu hana aibu kbsaa mtoto kamkalia uchi nae anakenua

Eti kisa wako america

Ushaziona hizo picha? Hata kuziweka hapa aibu tupu
 
unaweza kukuta mzee anakula mzigo,baba yake mwenyewe amekaa kihuni huni
 
Shangingi....kuna picha za graduation alikuwa na baba na mama ake Usa...mavazi ya beach amevaa ukumbini' yule abbas mtemvu hana aibu kbsaa mtoto kamkalia uchi nae anakenua

Eti kisa wako america

Ushaziona hizo picha? Hata kuziweka hapa aibu tupu

Hehe nishaziona tena nilizipost kwenye thread moja inayohusu kuvua taji...shangingii
 
Habari ambazo zinasambaa hasa kwa whatsapp ni kwamba Sitti Mtemvu,miss Tanzania (bibi bomba) anamzidi mdogo wake miezi 7.Hii imesemwa na marafiki wa mdogo wake na miss Lundenga.
Taarifa zaidi zinafata(Hii ni tetesi)

Kama kamzidi miezi saba mdogo wake, ina maana hiyo mimba ya mdogo wake ilipatikana Sitti angali tumboni? Ufafanuzi kidogo tafadhali.
 
Back
Top Bottom