Miss Tanzania wa 2010 mhh..

Miss Tanzania wa 2010 mhh..

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
genevive4.jpg
me+and+gen.jpg

Lundenda tunajua mashindano yako hayana mvuto na yanatoa maMiss wasio na viwango ila kwa huyu Geneveive umechemsha kwa kweli...
 
kwanini yanaitwa mashindano ya "MISS TANZANIA" kisha anaachiwa jukumu mtu mmoja "lundenga"...tunaishia kupata aibu za kipuuzi tuu... "YAITWE MASHINDANO YA MISS LUNDENGA AU KAMA VIP YAITWE MISS LINO-INTERNATIONAL....FULL STOP"
 
No, she is the best kwa waliojitokeza! Hatukuwa na njia nyingine. Warembo kibao TZ lkn hawajitokezi. Vile vichwa vya ukweli viko bize maofisini nk
 
Mimi nadhani vichwa vya ukweli vinaogopa kupakatwa ndio maana maana tetesi zinazosikika kuna makubwa mawili kwenye mashindano ya miss tz uhonge au upakatwe............ Sina uhakika ila waswahili wanasema lisemwalo lipooooooooooooooo
 
Jamani mwacheni mzee wa watu azeeke salama....ndo mradi pekee unaomwingizia hela hapa mjini. Kampuni ya Lino haina shughuli nyingine yoyote zaidi ya kuandaa mashindano ya Miss Tanzania.

Si mnajua mjini huji na jembe!!!! Ana watoto na wajukuu wanaohitaji kwenda shule......!!
 
No, she is the best kwa waliojitokeza! Hatukuwa na njia nyingine. Warembo kibao TZ lkn hawajitokezi. Vile vichwa vya ukweli viko bize maofisini nk

kwa kweli vichwa vya ukweli viko busy na kazi na mishe mishe za hela mjini hapa..hahaaa
 
No, she is the best kwa waliojitokeza! Hatukuwa na njia nyingine. Warembo kibao TZ lkn hawajitokezi. Vile vichwa vya ukweli viko bize maofisini nk

I concur. She was the best katika waliojitokeza.

Kabla ya fainali za shindano nilipata bahati ya kukutana na washiriki wa fainali za miss Tanzania 2010 Jangwani Sea Breeze. Huyu binti aliwafunika wenzie mno; alijichanganya ipasavyo, na kufanya kila kitu walichokuwa wakiambiwa wafanye pale. Ilitokea wakati yeye pekee ndio anajitokeza wanapopewa activity. Wengine walikuwa wamezubaa ndugu yangu utadhani wametoka kujifungua; hata kuna wakati wanamshangaa huyo mwenzao akijishungulisha say kudance etc. Nikasema moyoni, huyu binti (sikuwa namjua jina) atashinda taji hata kama sio mzuri, alishakusanya marks nzuri kabla ya fainali.

Washiriki nadhani hawaelewi kwamba sura nzuri pekee haikufanyi kuwa Miss Lino International.
 
Mhh!!! kweli jamani kila mtu ana fikra na maono yake na ana uhuru kuwa comment, she was real beautifully girl,
 
mara 100 hata angechukua one of the runners-up kama mshindi wako juu sana kwa mtizamo wangu

DSC_0545.jpg
 
No, she is the best kwa waliojitokeza! Hatukuwa na njia nyingine. Warembo kibao TZ lkn hawajitokezi. Vile vichwa vya ukweli viko bize maofisini nk

hawa ndio waliojitokeza.....sijuhi na yeye yumo..
Bonge+la+biashara.jpg
 
huyu miss tanzania wa mwaka huu tukiwekwa jukwaani pamoja nadhani watanzania watanipa kura nyingi sana hadi niseme basi duuuuh
 
mara 100 hata angechukua one of the runners-up kama mshindi wako juu sana kwa mtizamo wangu

True...hicho cha pili----Fist runners-up ni kina uafadhali...sijuhi kuhusu uelewa wake!
 
huyu miss tanzania wa mwaka huu tukiwekwa jukwaani pamoja nadhani watanzania watanipa kura nyingi sana hadi niseme basi duuuuh

haaaa...golder umenipa raha sana, kura yangu unayo kabla hujaingia jukwaani.
 
mwe mwe mweee mweeeee...!

YANI MISS MBEYA KAMA ROSE MHANDO....!

ndaga pijo na malori
 
mwe mwe mweee mweeeee...!

YANI MISS MBEYA KAMA ROSE MHANDO....!

ndaga pijo na malori

Acha hiyo kwani Rose Mhando ana ubaya gani jamani? Yule ni mama anayejitegemea na familia yake akimtumikia Mungu. Hata hajawahi kujitokeza kugombania u-missi. U-miss wake ni kwenye nyimbo za injili na anaibuka kidedea. Hebu tumheshimu huyu mama Rose Mhando. Keep it up Rose wangu. Unaisuuza familia yangu kwa nyimbo zako, hata mwanangu yuko mbali tunamtumia DVD zako. Keep it up Rose, you are a super star, model, queen, miss in your area of competence, and in this case, Gospel.

Back
Top Bottom