Miss tz vodacom inaendelea, star tv live

Miss tz vodacom inaendelea, star tv live

Yap kweli ingetakiwa leo mashindano ya simamishwe bana,
hii ni ishara ya kutokuwa na umoja.
Jaman ni tanzania moja lazima tuguswe.
Ok kwanza mamis wenyewe wanachaguliwa kwa msimu wa kibwetele.
 
Its true, kama tumetangaza maombolezo three days bendera nusu mlingoti halafu raha zinaendelea miss Tz sio sawa haswwaaa!
 
Kuna mamiss wana mahips makubwa, wafupi! Nadhani hii ni biashara ya kujiuza , ukikosa umiss at least utapata vingine.
 
kama maombolezo ya kitaifa yametangazwa huu upuuzi wa miss tanzania ulitakiwa usiwepo!hatuna serikali jamani?
 
Miss Tanzania wenyewe wana makalio hao! kama miss bantu, au ndo mambo ya wachina?
 
Kwani zanzibar si ni nchi na ina rais wake na serikali yake? sisi ni majirani tu sawa na kama msiba ungetokea Kenya ama uganda ama Rwanda. Kama mnabisha waulizeni wenyewe kama hawako nchi nyingine sie wabara tunajipendekeza tu!Raundi ya ngapi miss tanzania now??
 
vodakom wanalipiza kitendo cha BAR KUCHOMWA MOTO ZENJI NA WATU wasiofahamika
 
Hii ndo Tz kila mtu ni ni serikali kamili lundenga na serikali yake ya warumbo anapiga bao!!
 
kwa heshima ya marehemu wote waliopoteza maisha leo kutokana na ajali ya meli kuzama ,sitachangia thread hii
 
miss top modo, ni
Miss pesornalitz
Miss ubwabwa
Miss mahips
Majina tafadhar
 
Wakuu vipi hamna vituko vyovyote vilivyotokea huko? Je kuna mtu ameonesha dalili za kushinda? Vipi maendeleo ya Miss Mara?
 
mnh siamini glori lori hayupo kwenye 15 bora....duh,hao majaji mmetulet down
 
Back
Top Bottom