Miss u wana Mmu, ramadhani hii ukiwa na ugumu wewe sio binadamu

Miss u wana Mmu, ramadhani hii ukiwa na ugumu wewe sio binadamu

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
😂😂😂 kwanza nafuraha sana baada ya kutoka jela segerea mitaaa ya ban thanks mod

Nikitambo sana ila kikubwa ni hiki jamani mwezi huu mtukufu (mimi ni mkrito) ila nipo pamoja na nyie jua kali sana mpaka genye haziji kabisa

Nashangaa kuna vijana bado wanamizika sijui wanaitoa wapi mimi tu ninayeshiba wali hapa nahisi kila kitu nitabu

Jua kali sana mpaka kina mpwayungu village na Chizi Maarifa wanataka kufeel raha za mwanamke

Daah tu shida tupu
 
Back
Top Bottom