Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Job doneMiss Universe 2021: Harnaaz Sandhu ameshinda taji la Miss Universe hapo jana na kuwa mwanamke wa tatu kutoka India kutwaa taji hilo baada ya Lara Dutta na Sushmita Sen.
Kumbe kigezo ni kujibu maswal?Wahindi wana bahati sana bibie kajitahidi kujibu Swali kwa kujiamini
Haha alikua mbiombio anawahi kuwa wa kwanza kutoa taarifa.Hata picha hamna?
Yaan Umeandika kana kwamba kila mtu anamfahamu uyo
Naam wazungu wana kwambia CofidesiiiiKumbe kigezo ni kujibu maswal?
Aibu Sana Hii kwa member mzoefu Kama mtoa madaHaha alikua mbiombio anawahi kuwa wa kwanza kutoa taarifa.
Upuuzi mtupu, usikute hata uzuri wenyewe hanNaam wazungu wana kwambia Cofidesiiii
shemej yenuKwa binadamu alokamilika,
Haka kadada kanafaa Kwa matumizi [emoji39]View attachment 2044053
Acha zako[emoji4]shemej yenu
😀😀😀😀Miss Universe ni kuanzia Mercury hadi Pluto na Galaxies zao au?
Nimepiga sana hapa 🐒🐒🐒🐒Kwa binadamu alokamilika,
Haka kadada kanafaa Kwa matumizi [emoji39]View attachment 2044053
fuatilia ile hafla nilikua nae backstageAcha zako[emoji4]
😂😂😂 mtoe jela yule mtu kwanza.