Miss World 2008

Miss World 2008

Balantanda nahisi Lundenga atakuwa amekusikia.. au JK yuko tayari kumlipa huyo nguli wa walimbwede.

Tatizo ni namna ya jinsi mashindano ya Miss Tanzania yanavyoendeshwa..Yanaendeshwa na kampuni binafsi ya Lundenga ya LINO International Agency so hakuna Government intervention..so itakuwa ni vigumu serikali kumleta 'MAXIMO' wa wanyange/walimbwende
 
We don't need a "Maximo" of anything. What we need are better quality girls. At the end of the day first and foremeost Miss World is still a beauty contest. I don't care what other politically correct crap they try to claim, at the end of the day the winner is always gorgeous. The girl we sent just didn't pass the beauty test let alone the personality, intellect, etc tests.
 
what are you trying to imply?
 
what are you trying to imply?

Naomba niulize kwani mwaka jana yule dada mwenye kipara Flavian aliyetuwakilisha Miss Universe na kuwa namba sita alipata training Venezuela? Na Odemba pia amekuwa wa pili Miss Earth mwaka huu, alipata traning kutoka Venezuela?
Nadhani muda umefika tuseme wazi tatizo. Siyo training wala nini ni uendeshaji mbovu wa mashindano wa Miss Tanzania. Let's stop making excuses. Kazi hii inabidi ifanywe na watu wenye taaluma, na uhakika wapo wazalendo huko Tanzania wenye uwezo wa kutayarisha warembo na kuwasaidia kufanya vizuri.
 
Kuna kipindi nilisikia kuwa Lundenga alisema Miss Tanzania ni ya kwake yeye na familia yake hakuna mtu yeyote anayeweza kuwaingilia,,labda ndo maana anayaendesha kwa jinsi atakavyo na kutuchagulia wareembo wasiokidhi sifa za Miss world bali wanaokidhi sifa za ma PDG...Lakini akae akikumbuka kuwa anabeba jina la Tanzania na si familia yake so kama vp ajitoe tu na awaachie watu wengine wajaribu nao
 
Naomba niulize tena: hii Miss World si ni private entreprise ya yule bibi wa kizungu Julia? Na yeye ndo anaamua anataka kufanya kazi na promota gani katika nchi fulani? Kama huyu bibi kaona Lundenga anafaa basi sisi watanzania hatuna jinsi. Lakini mbona katika mashindano mengine Tanzania tumefanya vizuri tena sana? Kwa nini tunalia na Miss World wakati kuna mashindano ya Miss Universe na Miss Earth ambapo tumejenga jina? Jamani mwacheni Lundenga na Miss Tanzania na Miss World, kama masponza bado wanaona kuna haja ya kumsapoti tunalalamika nini? This is business pure and simple.
 
Watu wanalia na Miss World kwa sababu kwa mawazo na mtazamo wa wengi(hasa kwetu Tanzania) Miss World ndiyo mashindano makubwa duniani ikilinganishwa na Miss Earth au Miss Universe ambayo hata wakati wa utafutaji wa washiriki wake(kwa Tanzania) huwaga hakuna msisimko wala ushikishaji wa warembo washiriki toka mikoani(Sura ya utaifa) kama ilivyo kwa Miss Tanzania...So Miss Tanzania ia sura ya kiTAIFA zaidi(japo inaendeshwa na kampuni binafsi) ikilinganishwa na mashindano hayo mengine
 
Hiyo kamati ya miss TZ haina uchaguzi kama huu wa Ti-Efu-Efu????
 
Hiyo kamati ya miss TZ haina uchaguzi kama huu wa Ti-Efu-Efu????

Kuna Mwuungwana hapo juu amesema kwamba Miss Tanzania ni kampuni binafsi. Nahisi kuwanondoa hao jamaa ni kwa kununua share ya hiyo kampuni.
 
what are you trying to imply?

There are no implications at all, i think it's pretty straight forward.

The girl we sent this year and last year for that matter were not Miss World quality in terms of beauty, intellect, etc.

What is it that you don't understand?
 
Kuna Mwuungwana hapo juu amesema kwamba Miss Tanzania ni kampuni binafsi. Nahisi kuwanondoa hao jamaa ni kwa kununua share ya hiyo kampuni.

ambapo ni ndoto kw ahilo kutokea kwa sababu hao viwembe they know wat they benefit kwa kuwa waandaji wa hayo mashindano...not only the fweza..as we ol know wao huanza faidi matunda ya kampuni yao wakati uleee wa maandalizi ya mashindano,kambiz n even after mashindano washiriki wengine bado huendelea kulipa fadhilaz n kutaka jilia vya bureee wakisahau kuwa hiyo mijamaa mingi yao yaweza kuw aiko kwenye ile gridi ya taifa
 
Watu wanalia na Miss World kwa sababu kwa mawazo na mtazamo wa wengi(hasa kwetu Tanzania) Miss World ndiyo mashindano makubwa duniani ikilinganishwa na Miss Earth au Miss Universe ambayo hata wakati wa utafutaji wa washiriki wake(kwa Tanzania) huwaga hakuna msisimko wala ushikishaji wa warembo washiriki toka mikoani(Sura ya utaifa) kama ilivyo kwa Miss Tanzania...So Miss Tanzania ia sura ya kiTAIFA zaidi(japo inaendeshwa na kampuni binafsi) ikilinganishwa na mashindano hayo mengine

You see that is the problem! Kwa wengi wetu ambao tuko Marekani Miss Universe ni mashindano makubwa kupita Miss World! Sasa ukizungumzia mashindano yenye sura ya kitaifa, jiulize kwani process ndiyo inaleta ubora? Kufanya mashindano katika kila mtaa na sijui kanda ndiyo kuboresha mashindano? That is a misconception. Sura ya Kitaifa kama point yako inavyodai wakifika nje does not matter it is the representation and quality of the candidate. So usichanganye mambo.
Bado hujanijibu swali langu kwa nini Miss Universe na Miss Earth, warembo wamefika mbali sana na Miss World hawafanyi vizuri? Je ni kocha wa kigeni? Usibadilishe topic, just answer first the question
 
There are no implications at all, i think it's pretty straight forward.

The girl we sent this year and last year for that matter were not Miss World quality in terms of beauty, intellect, etc.

What is it that you don't understand?

Alpha, nadhani umenisaidia kwa kujibu (indirectly) swali langu kwa Balantanda. Tatizo si kocha wa nje or anything like that. Tatizo ni selection process. Pale ambapo Balantanda anasifia process ya akina Lundenga ya kufanya vijimashindano kila kona na kusema ina sura ya kitaifa, what is lost is the actual intention of any competition which is the selection process to ensure that the best wins. Kufanya kila kona mashindano ni suala la pesa tu na wadhamini but do the organizers know what they are doing?
Miaka kadhaa kama 8 iliyopita nilihudhuria mashindano ya mkoa sijui wilaya, na nilibahatika kuona utumbo unaofanyika. It defeats the purpose. Hamna haja ya kuboresha Miss Tanzania, jibu ni kuelekeza nguvu zetu katika process na mashindano ambayo yanafanya vizuri na kuleta matokeo. If companies stop rewarding Lundenga with money every year kwa utumbo anaofanya, atalazimika kufunga virago vyake na kujitoa, but that requires a meritocracy like in any other field. Tatizo hili tunaliona katika nyanja mbalimbali za michezo!
I rest my case.
 
Nashauri kazi ya kuandaa miss Tanzania apewe Maria Sarungi na kampuni yake. That is the bottom line and period!!!! Lundenga amebaki kuwa kuwadi wa walimbwende tu. Tukiendelea kupatiwa ma miss na huyu Lundenga hatufiki popote maana mara nyingi kila anayechaguliwa ukichunguza sana utakuta hakuna vigezo muhimu zaidi ya mambo ya kifisadi.
 
Hapa naomba tuishinikize kamati ya Miss Tanzania iwe inawalazimisha washiriki kuchagua lugha kati ya Kiswahili na kiingereza;ila kama mshiriki atachagua kiingereza basi wawe na udhibitisho wa kutosha kuwa mhusika yuko conversant with English beyond reasonable doubt vinginevyo Kiswahili akabidhiwe makarimani wake hadi huko kwenye final(Miss World)hata hivyo Kiswahili kipewa kipaumbele cha makusudi kabisa kabla ya Kiingereza;kwa kufanya hivyo utakuwa ni moja ya mchango wa kukuza Kiswahili duniani.
 
May be she want to become one first and the other later....who knows...

Tatizo watu wako too judgemental.

Hata huku nimekukuta bro! Lakini umetoa point, labda anataka yote mawili, si unajua at such a young age most of us didn't know what we want to do.
 
Tanzania ni nchi yenye wasichana wengi warembo lakini kwa sasa wengi wanaojitokeza kushiriki mashindano haya wanakuwa hawana vigezo vyote vinavyoweza kuwashindisha huko Miss World. Akiwa mrembo sana utakuta kichwani hamna kitu na wale ambao ni vipanga, sura zao kama madume! Labda tumtupie lawama Sir God hapa!

Kwa Upande mwingine, suala zima la u miss bongo lina image mbaya sana, nahisi ni kutoka na ubazazi ambao umekuwa ukifanywa na wasichana washiriki wa mashindano haya, ndiyo maana wasichana wengi wenye kukidhi vigezo hawajitokezi kwa kuwa hawataki kuwa associated na huo uchafu.Lundenga na timu yake wanatakiwa watafute namna ya kuwavutia warembo wenye sifa wajitokeze kushiriki mashindano haya, kuongeza thamani ya gari la mshindi tu haitasaidia sana, kuna watoto wazuri sana na hayo magari na nyumba kwenye familia zao ni kama sisimizi! It has to be about the pride of representing your country lakini wengi wanaojitokeza wanaingia huko kwa njaa zao tu ili wapate chochote kama sio kuuza sura kwa mapapaa! Tunatakiwa tuchague Miss Tanzania ambaye atakuwa ni true role mode na insipirational kwa kila mtu, hata vibinti vyetu vidogo vitamani kuwa kama yeye!
 
Back
Top Bottom