Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Balantanda nahisi Lundenga atakuwa amekusikia.. au JK yuko tayari kumlipa huyo nguli wa walimbwede.
Duh Kazi kweli kweli... kwa hiyo wanaku'Rod Blagojevich' !!
We don't need a "Maximo" of anything. What we need are better quality girls. At the end of the day first and foremeost Miss World is still a beauty contest. I don't care what other politically correct crap they try to claim, at the end of the day the winner is always gorgeous. The girl we sent just didn't pass the beauty test let alone the personality, intellect, etc tests.
what are you trying to imply?
Naomba niulize kwani mwaka jana yule dada mwenye kipara Flavian aliyetuwakilisha Miss Universe na kuwa namba sita alipata training Venezuela? Na Odemba pia amekuwa wa pili Miss Earth mwaka huu, alipata traning kutoka Venezuela?
Nadhani muda umefika tuseme wazi tatizo. Siyo training wala nini ni uendeshaji mbovu wa mashindano wa Miss Tanzania. Let's stop making excuses. Kazi hii inabidi ifanywe na watu wenye taaluma, na uhakika wapo wazalendo huko Tanzania wenye uwezo wa kutayarisha warembo na kuwasaidia kufanya vizuri.
Kuna kipindi nilisikia kuwa Lundenga alisema Miss Tanzania ni ya kwake yeye na familia yake hakuna mtu yeyote anayeweza kuwaingilia,,labda ndo maana anayaendesha kwa jinsi atakavyo na kutuchagulia wareembo wasiokidhi sifa za Miss world bali wanaokidhi sifa za ma PDG...Lakini akae akikumbuka kuwa anabeba jina la Tanzania na si familia yake so kama vp ajitoe tu na awaachie watu wengine wajaribu nao
Naomba niulize tena: hii Miss World si ni private entreprise ya yule bibi wa kizungu Julia? Na yeye ndo anaamua anataka kufanya kazi na promota gani katika nchi fulani? Kama huyu bibi kaona Lundenga anafaa basi sisi watanzania hatuna jinsi. Lakini mbona katika mashindano mengine Tanzania tumefanya vizuri tena sana? Kwa nini tunalia na Miss World wakati kuna mashindano ya Miss Universe na Miss Earth ambapo tumejenga jina? Jamani mwacheni Lundenga na Miss Tanzania na Miss World, kama masponza bado wanaona kuna haja ya kumsapoti tunalalamika nini? This is business pure and simple.
Hiyo kamati ya miss TZ haina uchaguzi kama huu wa Ti-Efu-Efu????
what are you trying to imply?
Kuna Mwuungwana hapo juu amesema kwamba Miss Tanzania ni kampuni binafsi. Nahisi kuwanondoa hao jamaa ni kwa kununua share ya hiyo kampuni.
Watu wanalia na Miss World kwa sababu kwa mawazo na mtazamo wa wengi(hasa kwetu Tanzania) Miss World ndiyo mashindano makubwa duniani ikilinganishwa na Miss Earth au Miss Universe ambayo hata wakati wa utafutaji wa washiriki wake(kwa Tanzania) huwaga hakuna msisimko wala ushikishaji wa warembo washiriki toka mikoani(Sura ya utaifa) kama ilivyo kwa Miss Tanzania...So Miss Tanzania ia sura ya kiTAIFA zaidi(japo inaendeshwa na kampuni binafsi) ikilinganishwa na mashindano hayo mengine
There are no implications at all, i think it's pretty straight forward.
The girl we sent this year and last year for that matter were not Miss World quality in terms of beauty, intellect, etc.
What is it that you don't understand?
" my interest is to become a medical officer, i am studying international relations" hivyo vitu viwili vinauhusiano gani?
Hii sasa ni kali!! Ni lugha au ni hamnazo tu!?
May be she want to become one first and the other later....who knows...
Tatizo watu wako too judgemental.