Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
-
- #101
Yaa na hili linawezekana kama washiriki wetu wakipewa ushirikiano! Tatizo Lundenga ana mambo ya ajabu sana na nilishangazwa sana walivyo mtelekeza huyu binti mwanzoni hadi dakika za mwisho! Mrembo by Nature kama itawezekana waombe mods wabadilishe title kwa kuongeza Mbele maneno hiwe hivi!
"Miss world na uhalisia Lundenga na kamati ya Miss Tanzania wana chakujifunza"
Siku zote neno "Ninge" linapotamkwa ni too late. Happy hana tofauti na watanzania waliowengi ambao either wameinhia Tz one (olevel na advance) au wametoka na GPA pt 5 ila hawana tangible impact yoyoye. Kwa kifupi bado anaelea mle mle. Hata angesapotiwa vipi bado happy hakujua ni nini kingempa ushindi (kwa nilivyopitia interview zake). Kuongoza class hakukutosha kumpatia miss world.
Kusema hivyo sina maana alikiwa mbaya kihivyo.
Post gani (picha IPI)
Kuhusu social responsibilities/ projects haiwezi kufanikiwa na kupata mshiko km judge ataendelea kuwa martin kadinda. Lazima mtaalamu wa ishu za global development awemo km judge au kambi ya miss tz . pia awe moja ya wapiga msasa kuelekea miss world. Take it or leave it
Kwenye ig ya muna...
Ni mswahili haswa...
sasa sahivi anafanya nini?
Shughuli maalum
Yaah hakika! Na Mimi mwanzo nilisema kupata kwake marks zile na kuongoza hakutoshi kumpa ushindi na ni wazi Happy hakuwa na uwanja mpana kuhusu kilicho takiwa kumpa ushindi! Kwa mashindano yale hiki kigezo cha Happy kilikuwa hakitoshi kabisa!
Niliuliza picha gani amechamba. Haha muna ukimchokoza utaoga matope. Yeye anasema ulokole hawezi so ukimchokoza au ukoment kumpinga kwenye pics zake atakusambaza kweli. Kazi kwakweli haijajulikana may be anafanya biznes au baba mtoto wake anamsapoti me sijui.
Huwa naona Kuna ndugu zake wapo sweden huwa wanamtumia nguo za mtoto na viatu daily.....
Siku nyingi sana alimuweka mkaka wa watu akamchambaaaaaa.....
Halafu hivi vitoto vikina pat vinajua kutumia ig au wazazi wao wamewafungulia..
maana sielewagi...
Ngoja na mie nimchambe hapa muna maana hana damu ya nguo yaani hata avae nini hapendezagi.....
Hahaha ila ndio watz wengi tulivyo tunaona kuwa wakwanza class inatosha...kwa developed countries kuwa wa kwanza ni nothing Kama huna tangible impacts (nasema tangible/measurable kwakuwa kufaulu impact yake kwa jamii iko too general). Alafu pia hadi mtu anenda miss world nina assume kwamba ni lazima awe kipanga (either ameongoza class plus other attributes) sasa ili uwafunike wengine ni lazima kuongoza class kujaziwe na vitu vingine vya uhakika km huduma kwa jamii yako na kimataifa.
Hakika! Kwanza kwa nilivyo ona lazima tukubali Miss awe amemaliza chuo kikuu hii inaweza saidia kidogo kujiongeza na ubunifu! Kwanza Huyu happy amejitahidi kidogo!
Lakini kwa lile shindano nililo liona kwakweli wale Ma miss wetu ambao hawajui vitu vidogo tuu hakika ni shindano gumu sana kwao na tusipo badilika itakuwa ndoto sana kufanya vyema!
Hakika lile shindano linahitaji Mamiss wenye uelewa wa mambo kila kona na kila idara ,Lina hitaji Ma miss wenye bongo pana sana!
Kwa wale Ma miss Tanzania walio kuwa wanagombea mwaka sijaona kabisa anaye fit kabisa kwenda kwenye hili shindano!
Miss hajui what is biology? Heheh si lazima ujue mengi ila jua mambo muhimu yanayoigusa jamii na pia uweze ku-master field yako. Kama Wewe ni mtu wa marketing maswali yao yatajikita humo humo like wise na field zingine. Pia Kama una miradi flani watajikita kwenye hizo kazi zako ili kupima kama kweli unakidhi beauty with purpose na issue za talent.
Kwa type ya Ma miss wale wa Ludenga hakika kazi hipo sana nafikiri hata kigezo cha elimu kinatakiwa kianze kuzingatiwa maana kuna ma miss wanna shangaza sana yani utafikiri wameishia la saba vile!
Hili shindano lina hitaji mabadiliko makubwa sana tena sana kuanzia majudge hadi Ma miss!
Nitafute km kweli una nia. Nitakupa uono wa kimataifa kuhusu nini ufannye in relation to the MDGs japo mudawake umeisha
Kwani kashika nafasi ya ngapi huyu miss wetu maana mara ya mwisho nilisikia ameingya top ten
Asante, nitakutafuta
Hatukuingia hata 25 bora
Nchi yetu kuna uzembe sana kwenye kukusanya kodi! hata wasanii wanje hupiga show na kuondoka na pesa yote!Hivi zile 500m za idrisa anazilipia kodi?