Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
- #101
Yaa na hili linawezekana kama washiriki wetu wakipewa ushirikiano! Tatizo Lundenga ana mambo ya ajabu sana na nilishangazwa sana walivyo mtelekeza huyu binti mwanzoni hadi dakika za mwisho! Mrembo by Nature kama itawezekana waombe mods wabadilishe title kwa kuongeza Mbele maneno hiwe hivi!
"Miss world na uhalisia Lundenga na kamati ya Miss Tanzania wana chakujifunza"
Hamna shida waandikie tu mie sina kwere...lengo ni kuboresha kwani hii pia ni fursa kimataifa
Last edited by a moderator: