Miss World na uhalisia, Kamati ya miss Tanzania wanacho cha kujifunza?

ndiyo maana miss Uganda wa mwaka huu ni mkulima lakn watu wakasema mbaya.Labda tungebaki na bibi bomba wetu mwenye faundesheni tungefika mbali

Lakini kwa hili shindano nilivyo liona muonekano hausaidii kabisa kushinda! Na kama uwezo huyo Sitti uwezo wake ni mdogo pia!
 
ndiyo maana miss Uganda wa mwaka huu ni mkulima lakn watu wakasema mbaya.Labda tungebaki na bibi bomba wetu mwenye faundesheni tungefika mbali

Kwa nilivyoona huenda siti kwa exposure aliyonayo angeweza. Pia wana NGO yao ya familia hehehe kwa kelele zile siti hata kwa hela habari za miss Tz hataki hata kuzisikia
 

Hela zenyewe bado hajapewa ziko kwenye process na anamkataba na multichoice bado
 
Last edited by a moderator:

Brigette Mwaka jana alijitahidi project yake ilifika mbali na walimrecognize... Nancy naye alifanya vizuri pia me naona waandaaji tu wachague watu wanaoeleweka maana huyo miss angejifunza kwa hao wawili walifanikiwaje kwenye hilo
 

Yeah kweli kabisa darasani sio kitu sanaa kwenye Talents mbona Nancy alikuwa top 5 lakini alienda kuke aliwa form six leaver. Waache juangalia nani anaakili darasani waangalie nani anafanya nn kwenye jamii
 
miss tz inabid wanze kuchukua wasomi zaidi lyk waliopo chuo kikuu maana profile za mamiss wengi ni wasomi tena univeristy nahc mtu msomi anauwezo na uelewa mkubwa compared na walioishia form 4

Nancy alienda Miss World akiwa form six na akashinda top 5 wasasa wengi wanaoenda ni wasomi wa chuo kikuu na wanachemka
 
Nancy alienda Miss World akiwa form six na akashinda top 5 wasasa wengi wanaoenda ni wasomi wa chuo kikuu na wanachemka
Pamoja na talent ambayo inasaidia sana kwenye category husika kingine kinachokosekana ni ubunifu wa nini wanatakiwa kufanya kuwa-impress ma-judge. Kwa nchi kama za kwetu ambazo zina changamoto lukuki, I'd expect warembo wetu wawe na mambo mengi ya kuonesha linapokuja suala la Beauty With Purpose! Sometime wanaweza kuwa na idea mzuri ya nini cha kufanya lakini wakakosa ubunifu wa nini hasa kitauza from the main theme ili isije ikawa just an old wine in a new bottle! Na kama ulivyosema, mtu haihitaji kuwa na madigrii ili kuwa mbunifu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…