Miss World na uhalisia, Kamati ya miss Tanzania wanacho cha kujifunza?

Miss World na uhalisia, Kamati ya miss Tanzania wanacho cha kujifunza?

ndiyo maana miss Uganda wa mwaka huu ni mkulima lakn watu wakasema mbaya.Labda tungebaki na bibi bomba wetu mwenye faundesheni tungefika mbali

Lakini kwa hili shindano nilivyo liona muonekano hausaidii kabisa kushinda! Na kama uwezo huyo Sitti uwezo wake ni mdogo pia!
 
ndiyo maana miss Uganda wa mwaka huu ni mkulima lakn watu wakasema mbaya.Labda tungebaki na bibi bomba wetu mwenye faundesheni tungefika mbali

Kwa nilivyoona huenda siti kwa exposure aliyonayo angeweza. Pia wana NGO yao ya familia hehehe kwa kelele zile siti hata kwa hela habari za miss Tz hataki hata kuzisikia
 
Nchi yetu kuna uzembe sana kwenye kukusanya kodi! hata wasanii wanje hupiga show na kuondoka na pesa yote!

amu nina hakika Afrika kusini kalipa kodi laki sijajua kama kwa Tanzania kama kalipa! Lakini sheria za kodi zinasemaje kwenye hili? Lakini si alitakiwa akatwe na huku? (PAYE)

Hela zenyewe bado hajapewa ziko kwenye process na anamkataba na multichoice bado
 
Last edited by a moderator:
Unajua tatizo haliko kwenye ma Miss wetu bali waandaaji wa shindano!
Nafikiri pia mshindi kwenye Umiss inabidi aendane na vigezo vya kumpata Miss world hii inaweza kusaidi kupata ushindi huko mbeleni!

Kwa swala la project ni kweli lazima iwe hile inayogusa siyo jamii yako tuu bali jamii ya kimataifa!

Na hili swala la kujua ni project gani inaweza kumsaidia mshiriki wetu kushinda linahitaji support kutoka kwa kamati wao ndio wanaweza kumsaidia mawazo na ubunifu wa jambo la kufanya ..

Tatizo kamati ya Ludenga inatoa support ndogo sana kwa hawa Ma miss! Kuna siku nilimsikia Mama Happy ana lalamika kukosa support kutoka kwa Lundenga na wenzake kipindi cha maandalizi ya Miss world! Walikuwa wamepungukiwa Pesa ya kutengeneza tangazo lakini walizungushwa sana hadi dakika za mwisho!

Hakika Kama Lundenga yuko serious kwenye hili shindano basi ajitolee kweli sio kuwatelekeza washiriki mwishoni!

Brigette Mwaka jana alijitahidi project yake ilifika mbali na walimrecognize... Nancy naye alifanya vizuri pia me naona waandaaji tu wachague watu wanaoeleweka maana huyo miss angejifunza kwa hao wawili walifanikiwaje kwenye hilo
 
Siku zote neno "Ninge" linapotamkwa ni too late. Happy hana tofauti na watanzania waliowengi ambao either wameinhia Tz one (olevel na advance) au wametoka na GPA pt 5 ila hawana tangible impact yoyoye. Kwa kifupi bado anaelea mle mle. Hata angesapotiwa vipi bado happy hakujua ni nini kingempa ushindi (kwa nilivyopitia interview zake). Kuongoza class hakukutosha kumpatia miss world.
Kusema hivyo sina maana alikiwa mbaya kihivyo.

Yeah kweli kabisa darasani sio kitu sanaa kwenye Talents mbona Nancy alikuwa top 5 lakini alienda kuke aliwa form six leaver. Waache juangalia nani anaakili darasani waangalie nani anafanya nn kwenye jamii
 
miss tz inabid wanze kuchukua wasomi zaidi lyk waliopo chuo kikuu maana profile za mamiss wengi ni wasomi tena univeristy nahc mtu msomi anauwezo na uelewa mkubwa compared na walioishia form 4

Nancy alienda Miss World akiwa form six na akashinda top 5 wasasa wengi wanaoenda ni wasomi wa chuo kikuu na wanachemka
 
Nancy alienda Miss World akiwa form six na akashinda top 5 wasasa wengi wanaoenda ni wasomi wa chuo kikuu na wanachemka
Pamoja na talent ambayo inasaidia sana kwenye category husika kingine kinachokosekana ni ubunifu wa nini wanatakiwa kufanya kuwa-impress ma-judge. Kwa nchi kama za kwetu ambazo zina changamoto lukuki, I'd expect warembo wetu wawe na mambo mengi ya kuonesha linapokuja suala la Beauty With Purpose! Sometime wanaweza kuwa na idea mzuri ya nini cha kufanya lakini wakakosa ubunifu wa nini hasa kitauza from the main theme ili isije ikawa just an old wine in a new bottle! Na kama ulivyosema, mtu haihitaji kuwa na madigrii ili kuwa mbunifu...
 
Back
Top Bottom