LGE2024 Missenyi, Kagera: Kada CHADEMA, Joseph Elemedius auawa akingojea Uteuzi kugombea Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Chadema wameanza kuuawana kisa uwenyekiti wa kijijini

USSR
 
Huu ni uchaguzi wa serikali za mitaa TU. Je uchaguzi mkuu! Udiwani, ubunge na urais itakuwaje Sasa mwaka ujao! Jiwe alikuwa hovyo sana!
Yatakuws ni maafa makubwa
 
Inasikitisha sana uroho wa madaraka unaondoka na roho ya mtu
Hawana hata mshahara maskini! Ccm watalipia damu zote wanazomwaga! Botswana wamepigwa chini miaka 58 ya utawala wa mabavu km ccm! Lakini mwenge ni tatizo! Ni madhabahu ya hovyo sana Ile!
 
Hawana hata mshahara maskini! Ccm watalipia damu zote wanazomwaga! Botswana wamepigwa chini miaka 58 ya utawala wa mabavu km ccm! Lakini mwenge ni tatizo! Ni madhabahu ya hovyo sana Ile!
Inasikitisha sana
 
Hawana hata mshahara maskini! Ccm watalipia damu zote wanazomwaga! Botswana wamepigwa chini miaka 58 ya utawala wa mabavu km ccm! Lakini mwenge ni tatizo! Ni madhabahu ya hovyo sana Ile!
Mwenge kwa sasa unafika mwisho maana wananchi wameukacha wanasukuma watu kwa lazima wakaupokee. Hizi ni ziku za mwisho za mwenge.
 
Jeshi la polisi UVCCM waliwaambia msihangaike kuwatafuta wanaopotezwa.
 
Wasiojulikana🥲
 
Hivi mwenyekiti wa mtaa analipwa sh ngap?
Barua za utambulisho buku mbili hadi tano, madili ya kuuza viwanja na maeneo ya watu, pride nk. Hakuna kingine, japo nasikia wanapewa kiinua mgongo wakistaafu.
 
Cha kushangaza hapa kuna watu watajisahaulisha na kusema wamejiua wenyewe😂 tumekuwa nchi ya uchawa na unafiki
 
CCM hizi damu mnazomwaga hala Polisi wanawakingieni kifua mtazilipa soon.
 
Chadema wanauana haha kwa nafasi hizi ?
 
Nakumbuka mwenyekiti wao alibugia konyagi hadi alivunjika mguu akasingizia wasiojulikana eti walikuwa wanamfuatilia😁😁
 
Mleta mada jazia nyama post yako, alikuwa anasubiri uteuzi wann? Ninachojua mm uteuzi wa wagombea ni suala la ndani ya chama cha siasa. Na leo ndio mwisho wa urudishaji wa fom za kugombea nafasi wenyeviti na wajumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…