Missile strike kills eight pro-Iranian militia members on Syria border

Missile strike kills eight pro-Iranian militia members on Syria border

F-35 stealth fighter za Israel zimeshafanya yake.Hakuna kuonekana na radar,"Unidentified aircraft !"
 
Trumo hakukosea.

dodge
Trump hakukosea ila ulikosea wewe kumkosoa kua hana akili halafu leo hii unakiri kua yuko sahihi

Shwari lakini pande hizo wewe shithole mwenzangu?
 
Iran hakupiga off target, Missiles ziligonga base na kuharibuharibu miundo mbinu

Kama Marekani ilihamisha askari wake au kama Askari wake walikuwa chini huko kwenye bunkers ili wasidhuriwe na missiles hilo ni jambo jingine
Kwani trump alisemaje?

Alivyosema kua hakuna aliyejuruhiwa nyie wapambe mkaendelea kupiga domo kama mshehereshaji wa shuhuli mara ooh trump muongo wanajeshi wamekufa wengi tu mkapost na vipicha vyenu sijui mlivipata wapi mi nilikja nawa zoom tu

Juzi imebidi iran mwenyewe kufunguka kua alipiga off target na hakuna hata majeruhi sasa hivi naona wapambe mnaanza kuumbuka

Juzi tena iran kadungua ndege ya ukain kimakosa (off target) halafu akakataa kua hajailipua. Nikawaambia huyu muiran ni.mtu wa kucheza na majukwaa hapa anapotosha uma ila ukweli ni kwamba ameshambulia ndege ya ukrain, na vichwa panzi wakaendelea kumtetea kua hajailipua mi mda huo nimesizi tu nawa cheki

Leo yeye mwenyewe amekiri kua ameidungua kimakosa, hii ya leo wewe unamaoni gani kuhusu tamko hili kutoka iran?
 
"hujaziona picha za sattelite zinazoonyesha majengo ya kambi ya USA yaliyobutuliwa?
 
Ina maana wewe ni kipofu, wairan kibao wamekufa kwa kukanyagana unafikiri walikuwa kwenye sherehe?!! yaani ni tukio juu ya tukio. Yaani kitendo tu cha US kumuua general soleimani, imepelekea wairan 56 kufa kwa kukanyagana kwenye maombolezo ya genaral, wairan 82 kuuwawa kwenye ndege ya Ukraine tena kwa kuuliwa na wairan wenzao kisa kitete cha kushambuliwa na US. kwa hiyo 82+56+1=138, kwa hiyo Iran imepoteza zaidi ya raia 138 sababu ya shambulio la US kumuua soleimani. Sasa umeona NGUVU ya US.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona Nguvu Ya US Ilochemka Kuzuia Makombora Yasipige Kambi Zake

US=PAPER TIGER.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakwambiaje hata wangekua wapi labda tu kama wasingekua kwa hizo kambi ila kama walikua huko kambini walikufa kama majani ya kiangazi yanavyopukutika
Iran hakupiga off target, Missiles ziligonga base na kuharibuharibu miundo mbinu

Kama Marekani ilihamisha askari wake au kama Askari wake walikuwa chini huko kwenye bunkers ili wasidhuriwe na missiles hilo ni jambo jingine
US=PAPER TIGER.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
F-35 stealth fighter za Israel zimeshafanya yake.Hakuna kuonekana na radar,"Unidentified aircraft !"
Hata Ile HQ Stealth Ilifanya Yake Bila Kuonekana[emoji12][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"hujaziona picha za sattelite zinazoonyesha majengo ya kambi ya USA yaliyobutuliwa?
Walivyosema wanalipa kisasi inamaana kumbe marekani walibutua ngome za iran hawakuua mtu na ndio maana wao wamelipisha kwa kulipua ngome bila hata mtu kujeruhiwa?
 
Yaani ss hv hata akiuawa kuruta mnamvika UjGeneral wa ngazi za juu ili muonekane tu mmeua mwamba aisee kazi mnayo

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
 
Back
Top Bottom