Missing Persons Special Thread....

Naomba uniambie utofauti wa

Dha, tha na za

Kwa kutumika kwa maneno.

dha -dhahania,dhani,dhahabu,baradhuli,dhambi
Tha- thamani,theluthi,theluji
Za- zamani,zodoa,zoa,zama,zima,zali.

baizawei, nakusalimu.
 
Kuna mdau alikuwa anajiita mwanza yote yangu. Nilikuwa nacheka sana nikikutana nae
 
ndyeki.. Nile nini? Pia ni mnyama wa kichawi, anakuletea utajiri huku anamaliza ndugu zako, kisha watoto wako, kisha mkeo Na hatimaye atakumaliza wewe
Ooh inamaana ndyoko = ndyeki!? aka nile nini! Vidude vya baadhi ya traders @Kabwe(SIDO), Mwanjerwa, Soweto, Soko Matola & co....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…