Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulikuwa unatingisha kiberiti kumbe.Kwani ulikuwa umeniacha?
Purobablii, heri kuwa bachelor kuliko mwanamke anayekutangaza vibayaEe nimejiokotea ka Ben ten baba yenu si kanikimbia
Kwambaaaaa?Duuuh nitacomenti ki-shilawadu!
Inasemekana lakini...
ndyeki.. Nile nini? Pia ni mnyama wa kichawi, anakuletea utajiri huku anamaliza ndugu zako, kisha watoto wako, kisha mkeo Na hatimaye atakumaliza weweHivi ndyoko maana yake nini kule kiwira
Nani amekutangazaPurobablii, heri kuwa bachelor kuliko mwanamke anayekutangaza vibaya
Purobablii, heri kuwa bachelor kuliko mwanamke anayekutangaza vibaya
Naomba uniambie utofauti wa
Dha, tha na za
Kwa kutumika kwa maneno.
Ooh inamaana ndyoko = ndyeki!? aka nile nini! Vidude vya baadhi ya traders @Kabwe(SIDO), Mwanjerwa, Soweto, Soko Matola & co....ndyeki.. Nile nini? Pia ni mnyama wa kichawi, anakuletea utajiri huku anamaliza ndugu zako, kisha watoto wako, kisha mkeo Na hatimaye atakumaliza wewe
Nilikuwa nawaza tu alifikiria nini alipokuwa anaweka hiyo idKinachokufurahisha ni nini?
Huyohuyo kama utamuona mwambie aje tumemkumbuka sana na nyuz zakeHuyu jamaa ndio anasema HAKUNA UKIMWI