Naona unataja mademu zako tuu [emoji3]
I miss this perfect man
Najua nilichokifanya brother sikumaanisha huyoHiyo ni picha ya MWANADAMU asiekua na uhusiano wowote na MUNGU,ni mzungu anaekaa Ulaya as we speak.
Sasa kama unamiss wanaume wenzio that way,Nina haki ya ku-question uwezo wako wa kufikiri.
Im sorry
Kiukweli nimewamiss sana hao viumbe..Naona unataja mademu zako tuu [emoji3]
I really miss these people
Nilijua upo sema nilikuwa nimekumiss tu nilitaka nikuone[emoji13]