Missing Persons Special Thread....

Ushauri wako mzuri! Wadada wa JF hawawezi kunikubali Mimi muuza Mapupu na vichwa vya kuku asubuhi, usiku Mlinzi! Na Mimi kufake siwezi. Wao wanataka wacheza FOREX

Naamini sio wote wako hivyo so jaribu bahati yako.

Kila la heri.
 
Hahaaa. Vizia ka dame kamoja ukafate fate ukaquote quote kakiku notice mwaga sera. Ikikubaliwa you are good to go.

Isipokubaliwa mkuu try again. Haiwezekani warembo woooote wakukatae wewe.
Mbona ww unanikataa lkn...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…