Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri wako mzuri! Wadada wa JF hawawezi kunikubali Mimi muuza Mapupu na vichwa vya kuku asubuhi, usiku Mlinzi! Na Mimi kufake siwezi. Wao wanataka wacheza FOREX
Yeah ni kweli maana ushazeeka sasa,lea wajukuu.Hapana.
Usijisumbue, utapoteza mda wako.
Mbona ww unanikataa lkn...Hahaaa. Vizia ka dame kamoja ukafate fate ukaquote quote kakiku notice mwaga sera. Ikikubaliwa you are good to go.
Isipokubaliwa mkuu try again. Haiwezekani warembo woooote wakukatae wewe.
Ndo umeamua kunijungua live? ?Nilikuwa nataka kuhakikisha kuwa hujabinafsishwa.
Sipo available. Usijisumbue.Mbona ww unanikataa lkn...
![]()
Hahaaaaa.Yeah ni kweli maana ushazeeka sasa,lea wajukuu.
[emoji106] [emoji108] [emoji111]Hahaaaaa.
Kweli kabisa.
Mungu anakuona. .Live in HD
Siku hizi umekazana kweli kuni laiki laiki ukikatiza mitaa niliyopita Daby?Watu wapo na Viaidi vipya wanatuzoom tu hapa...
infwakiti, sina maana hiyo.