haha, ni likes tu bhana.
Labda zije zitunogee baadae ila niamini kwasasa.
Hahaaa.Wewe 'mwehu' sana.
Yaani umejitengenezea ka-fursa ka baadaye!!
Hata sijui kwa kweli!!!!Hahaaa.
Ka kunitokea siyo?
Hata sijui kwa kweli!!!!
Kazi anayo mbonaaaEti wanasema ukisikia kuna fursa wewe ndio fursa yenyewe....
Sema tu Kaukweli hakathibitishikiMmmh kama kuna kaukweli hapa...
[emoji1] [emoji1]Eti zitunogee. Muone kwanza.
Nafurahi kukuona jf mara kwa mara these days. Hapa kati uliadimika kiaina . Kipindi nipo njuka humu nakumbuka nilikuboaga kwenye uzi wako fulani teh u was serious nikaleta utani ulinisonyoaje kizungu mpaka nikaenda kudownload dictionary hadi waleo sisahau na nikikuona nafurahi [emoji16]Hahaaa. Vizia ka dame kamoja ukafate fate ukaquote quote kakiku notice mwaga sera. Ikikubaliwa you are good to go.
Isipokubaliwa mkuu try again. Haiwezekani warembo woooote wakukatae wewe.
fungua account nyingne jina la kike afu uwe unajiulizia ....ha ha ha nilifanyaga hivi badoo haiwezekan watu wanachat kwa kujuana kule nkafake account jina la kike nkaanza jiulizia afu najijibu ha ha inbox zilijaaJF noma sana. Mi sionekani na wala simisiwi!
Really?Nafurahi kukuona jf mara kwa mara these days.. Kipindi nipo njuka humu nakumbuka nilikuboaga kwenye uzi wako fulani teh u was serious nikaleta utani ulinisonyoaje kizungu mpaka nikaenda kudownload dictionary mpaka waleo sisahau na nikikuona nafurahi [emoji16]
Cc Smart911