Missing Persons Special Thread....

Missing Persons Special Thread....

Hahaaa. Vizia ka dame kamoja ukafate fate ukaquote quote kakiku notice mwaga sera. Ikikubaliwa you are good to go.

Isipokubaliwa mkuu try again. Haiwezekani warembo woooote wakukatae wewe.
Nafurahi kukuona jf mara kwa mara these days. Hapa kati uliadimika kiaina . Kipindi nipo njuka humu nakumbuka nilikuboaga kwenye uzi wako fulani teh u was serious nikaleta utani ulinisonyoaje kizungu mpaka nikaenda kudownload dictionary hadi waleo sisahau na nikikuona nafurahi [emoji16]



Cc Smart911
 
JF noma sana. Mi sionekani na wala simisiwi!
fungua account nyingne jina la kike afu uwe unajiulizia ....ha ha ha nilifanyaga hivi badoo haiwezekan watu wanachat kwa kujuana kule nkafake account jina la kike nkaanza jiulizia afu najijibu ha ha inbox zilijaa
 
Nafurahi kukuona jf mara kwa mara these days.. Kipindi nipo njuka humu nakumbuka nilikuboaga kwenye uzi wako fulani teh u was serious nikaleta utani ulinisonyoaje kizungu mpaka nikaenda kudownload dictionary mpaka waleo sisahau na nikikuona nafurahi [emoji16]



Cc Smart911
Really?

Uliniboa? How??

Sikumbuki hata. Labda unieleweshe ilihusu nini.

But am sorry though kama nilikukwaza in any way na nafurahi kukuona pia.
 
Back
Top Bottom