Missing Persons Special Thread....

Ushauri wako mzuri! Wadada wa JF hawawezi kunikubali Mimi muuza Mapupu na vichwa vya kuku asubuhi, usiku Mlinzi! Na Mimi kufake siwezi. Wao wanataka wacheza FOREX
Hahahahahhahaaaaa forex uwiiii
 
Tatizo watu ID zaidi ya moja ukimuona kapotea kwa jina moja ujue kaibuka na jingine.

Mpk sasa kuna watu 4 nimeunganisha ID zao. JF ina raha zake inabidi uwe makini sn na urafiki wa humu wengine wadukuzi tu
Kuna mambo mengi yanasababisha id nyingi.
-kudanganyana
-kutongozana
-kukimbian
-ban
-kushare tatizo jipya[kujilikana kwa ID ya zamani] n.k
 
Kuna mambo mengi yanasababisha id nyingi.
-kudanganyana
-kutongozana
-kukimbian
-ban
-kushare tatizo jipya[kujilikana kwa ID ya zamani] n.k
Mkuu unaonesha wewe ni mzoefu sana. Lipi lilikusibu hapo?
 
Kuna lady mmoja hivi anaitwa kui sijui kapotelea wapi? Yeyote atakaefanikisha kuonekana kwake nitampa zawadi nono....
 

CC: Nyani Ngabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…