Missing Persons Special Thread....

Missing Persons Special Thread....

fungua account nyingne jina la kike afu uwe unajiulizia ....ha ha ha nilifanyaga hivi badoo haiwezekan watu wanachat kwa kujuana kule nkafake account jina la kike nkaanza jiulizia afu najijibu ha ha inbox zilijaa
Hivi badoo na kwenyewe ni forum? Nilijua unapost tu pics unatafutwa
 
Really?

Uliniboa? How??

Sikumbuki hata. Labda unieleweshe ilihusu nini.
Ulipost uzi wa kuhusu ngedere wanavowasumbua nyumbani kwenu na Mr.... Uwafanyeje?? ( if I'm not mistaken lakini)


Nikakoment utumbo kuwa " waoneshee kipapa "[emoji16] [emoji16] [emoji23] haha ulinipa ulinipa ila kiingereza sasa kwani niliambulia neno hata moja !! Ulitumia English kama Ile anayoandikaga Ngabu sometimes..


Cc Smart911
 
Ulipost uzi wa kuhusu ngedere wanavowasumbua nyumbani kwenu na Mr.... Uwafanyeje??


Nikakoment utumbo kuwa " waoneshee kipapa "[emoji16] [emoji16] [emoji23] haha ulinipa ulinipa ila kiingereza sasa kwani niliambulia neno hata moja !! Ulitumia English kama Ile anayoandikaga Ngabu sometimes


Cc Smart911
Hahaaaaa. Aisee.

Naanza kupata picha now. Pole.
 
Tatizo watu ID zaidi ya moja ukimuona kapotea kwa jina moja ujue kaibuka na jingine.

Mpk sasa kuna watu 4 nimeunganisha ID zao. JF ina raha zake inabidi uwe makini sn na urafiki wa humu wengine wadukuzi tu
 
Back
Top Bottom