Missing Persons Special Thread....

Missing Persons Special Thread....

Hata kule kwa makapuku huonekani?
Naingiaga mara chache tu
Makapuku ya sasa siyo km ya zamani
Maisha yamebadilika , muda pia unabana now

Ila nafurahi kwamba nilitumia kipindi kile nilipokuwa free kufurahi ns washikaji ila sasa muda na mazingira ni kikwazo
 
kuna kamkakati tunafanya soon utaelewa filamu nzima

teh teh

bora umerudi real you bhana
Mkakati? hivi kwa english ndiyo strategy eeh

All the best guys.

imebidi bhn maana kila nayekutana naye anasema nirudi.
 
Mkakati? hivi kwa english ndiyo strategy eeh

All the best guys.

imebidi bhn maana kila nayekutana naye anasema nirudi.
bora aisee, tumekuzoea bhana loooh
bora umeheshimu mawazo yetu
 
Siku hizi umekazana kweli kuni laiki laiki ukikatiza mitaa niliyopita Daby?

Iko nini?😛
yupo kwenye mpngo wakufnya project uliyomshauri yule kijana
aliyesema kuwa yeye tu ndiye hapendwi

so ni suala la wakati tu ..ukifika utakuja libaini dhumuni linalo msukuma kufnya hvyo
 
sory nimechanganya i mean 2go
daahh enzi za 2go ..palikuwa na mapepe huko hatari
nakumbuka mimi niliwahi kufnya ujinga kama wako nikafungua I'd fake Eskimi nikajifnya demu nikajipa promo kuwa Mimi ni lesbian daahh hpo ndipo nilipokuja kujua kuwa dunia imevurugwa
 
Jmn mm nikionaga avatar ya Mzigua90 hadi nadindisha,cjui nae ni mzur km huyo aliemuweka?...
hahaa ile avatar inatia genye mnoo mkuu .yule mtoto sijui ni wataifa gani daahh
 
Back
Top Bottom