Missing you

Missing you

wapwa jioni njema na heri ya mwaka mpya. naenda kujiandaaa na mkesha kwaya yetu ndo nguzo!!!!! Kaizer meet you there!!!
na wewe kumbe ni mchungaji?
na mimi nadhani 2010 nijiunge na kwaya aseee japo ile ya jumuia ndogo ndogo
 
Kuhani
Dilunga

Hivi, how do you say "I miss you" in Swahili?
 
Back
Top Bottom