Missing you

Missing you

heheheheh nimewekwa ndani kwani kidogo! yaani nimeamini kuna sehemu ukigusa best you are deemed to be lost completely! najitahidi hapa kujinasua lakini chai yenyewe naletewa kitandani nambie ntatokaje sasa...

how are you doing?🙄
Heeeee! Hata wewe shemeji? mie chichemi.
 
.....tena shemeji yako ndio kiongozi wa mila zetu!infact muongozi woooote wa kudumusha mila TUNAUKOPI KWAKE

Isipokuwa mimi tu. Nimerithi toka kwa babu yangu. Alikuwa na wake sita na watoto 42! Nimerithishwa mikoba yake.
 
niligundua hilo jana mpwa khaaaaaaaa!!! ulei huu kazi kwelikweli Kaizer unakili sailently B.
 
Usiniambie? si baba paroko jamani shemeji yangu? au mnamsingizia?Yupo wapi aje ajibu tuhuma hizi.
 
hehehe, kwa nini unasema ivo BHT japokuwa tupo kwenye maombolezo! LOL

ulivonaswa kwenye malove mazito je!!! hata kujinasua huwezi tangu krismasi hata leo .....si vekesheni ya aina yake hiyo B!!!
 
Afu wewe! Wewe! Tangu asubuhi ulikuwa gesti gani ndio unaibuka mida hii?
 
Isipokuwa mimi tu. Nimerithi toka kwa babu yangu. Alikuwa na wake sita na watoto 42! Nimerithishwa mikoba yake.[/QUOTE]
Siipendi hii statement.Halfu inajirudiarudia.Isijenifanya nimalize mwaka vibaya.
ishindwe na ilegee na mikoba iteketee kwa damu ya Yesu.
 
niligundua hilo jana mpwa khaaaaaaaa!!! ulei huu kazi kwelikweli Kaizer unakili sailently B.

Usiniambie? si baba paroko jamani shemeji yangu? au mnamsingizia?Yupo wapi aje ajibu tuhuma hizi.

HABARI NDIYO HIYO!jana alituita USWAZI manzese-madizini tulikuwa huko,TUMEDUMISHA MILA MPAKA ALFAJIRI
 
Siipendi hii statement.Halfu inajirudiarudia.Isijenifanya nimalize mwaka vibaya.
ishindwe na ilegee na mikoba iteketee kwa damu ya Yesu.
...mama,
hii naomba uiende tu!ukisoma SONGS OF LAWINO wanasema wenyewe ''THE PUMPKIN OF THE HOMESTEAD MUST NOT BE UPROOTED''

zidumu mila zetu za ki-afrika!
 
Isipokuwa mimi tu. Nimerithi toka kwa babu yangu. Alikuwa na wake sita na watoto 42! Nimerithishwa mikoba yake.
HII SASA ndio yenyewe!UDUMU SANA KIJANA!tupo wachache sana wenye HEKIMA ZA KUDUMISHA MILA......
 
Back
Top Bottom