3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Janja janja kaona hamumtangazi kimataifa ameamua kupitia uwanja wa uwani atangazwe na mnyama simbaWanaosimamia kanuni ya mpira wetu ndio washasema,wewe upinge nani,busara imetumika ili kesho mlete timu lenu tulibutue goli za kutosha,baada ya kesho ugomee tena match zijazo ili ukutane na kitu kizito cha utosi,GSM bado mdhamini mwenza wa ligi yetu na kwa umbumbu wenu mnadhani mtashinda hii challenge while ligi ina ina timu 16 then huu umbumbu mpo peke yenu,hamna timu yoyote inayowaunga mkono
View attachment 2039837