Mission iliyopo kwa sasa ni KGB kumalizana na Zelensky

Wewe unacheza na Mbongo iko Ikwiriri anapata za ndani za kutoka Moscow Kilometa zaidi ya 12000, ila cha kushangaza hajawahi kufika Dar es salaam tangu kuzaliwa.
 
Hatari sana mkuu, inaoneka upo viunga vya St-Petersburg tena kremlin kabisa hapo.

anyway warusi ni wagumu sana kwenye mambo ya kimedani japo cowboy aka USA ni mzuri sana naye kwa fitna na indirect kick, Putin awe makini isije ikapigwa tule tumbakishie baba au ana ana anado

Stalini aka the Iron man, alitaka kuondoka Moscow wakati Mwamba wa Berlin alipomjambisha na vijana wake wababe wa kivita aka manazi lakini alighairisha na kuchagua kubaki Moscow na kupiga counter attack iliyowafikisha red army Berlin japo Cowboy aka USA naye alishuka wakampiga mande Hittler.

Let's wait and see.
 
Watakuwa M16 wana lipiza maana Mrusi kuingia UK kuua anao wataka ni kawaida sana

Pale UK FSB operative wako wengi sana, hawa Oligarch wengi wa kirusi wetumika sana kupandikiza FSB pale UK na Germany.

Hii imempa kiburi sana Putin maana inaonekana wanajua target nyingi sana ndani ya West japo watoto wa malkia nao ni wanaishi sana kwenye hii misinambe.
Churchill angekuwa mnyonge watoto wa malkia wangeweza kujisalimisha kwa mhuni Hittler maana tayari Luftwaffe zilishapiga sana hapo Uingereza na watu kujificha sana kwenye subway.

Watu wa Ulaya mikikimikiki ya vita wameizoea sana toka WW1 mpaka WW2 wamezipiga sana.
 
wakati muuaji kakamatwa na kakili kwamba kweli alitega bomu unasemaje? hapo...
 
wakati muuaji kakamatwa na kakili kwamba kweli alitega bomu unasemaje? hapo...
Hao si kama uku tu..........kwani watasema ukweli πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€........hivi wewe kweli mtu atumwe mission possible anasubiri uje umkamate tena kwani yeye mjinga..........hapo asubilie tu kupimwa mkojo.........maana warusi hawakawii kumpereka mstali wa kwanza akabanikwe na ukreini
 
Hivi unaweza kumpeleka askari akapigane bila yeye kuridhia si atawaua wenzio.
 
Mbona video zipo na mmoja kakamatwa yupo nguvuni!
 
Watakuwa M16 wana lipiza maana Mrusi kuingia UK kuua anao wataka ni kawaida sana
Nikijana wakirusi aliyelipwa dollar 250000 akitekeleza mpango huo akaenda kapaki skuta ya umeme na kwenda kukaa katika gari mbali na remote yake General alivyotoka jamaa akabonya mmoja aliyekuwa anachukua matukio yote yupo mikononi mwa urusi naye ni kijana wa kirusi pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…