Misso Misondo anaenda kupotezwa nyota yake sababu ya Simba

Sema nini?
Nchi hii watu wachawi wa roho mbaya sana.
Unaweza kuhisi wanakuhurumia kumbe ndio wanakuloga.

Richmavoko ni mwalimu mzuri....walijifanya kumhurumia walipomaliza kumtoa WCB wakamtelekeza jangwani...sasa dogo hatamaniki hata kutazama
 
Simba ina laana gani,inaweza kutupa uthibitisho au wivu unakusumbua?.Huyo kijana asingefanya kazi na simba wewe ungemsaidia nini kwenye maisha yake?.
 
Kina harmonize mbona wanatumbuiza Yanga na hawapotei, Alikiba na Zuchu wametumbuiza na hawapotei, tatizo mashabiki wa Yanga na Simba mnaleta ubishi wa kishabiki hata kwenye mambo ya kutafuta riziki, Je Yanga wangemwita tofauti ni nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umechelewa sana kuwajua, mashabiki wa Yanga Sc linapokuja swala la mtu kujitafutia riziki ni lazima wakunje.

Nabi alikuwa ni mzuri alipokuwa YangaSc ila kwasasa ni mbovu kwao kwasababu amefata pesa Morocco.

Feisal hawakutaka kabisa aende kwenye maslahi mazuri, kwasasa ni adui yao.

Wana ujinga mwingi mno hawa watu.
 
Haina shida mkuu as long as pesa ipo.
Unaweza kuwa upepo unapita asipokula mapema akaja kujuta.
Maisha hayana formula mbona kiba wa simba ila ana mashabiki wa yanga pia. Same kwa mond na wengineo
Point Yuko wapi Mandonga? Unafikiri alikuwa mjinga kupigana mapambano mchana na jioni?. Kuna wakati upepo ni muda tena kuna mtu kama Diamond kwenye industry ya muziki. Kapoteza kofia Tu imekuwa tabu. Pia Dogo siku ya Simba day huko bush na wenyewe walikuwa na matamasha na alikuwa anapiga msondo kama atafeli Kwa ajili ya Simba haikutakuwa tabu maana Naye nahisi ni mnyama. Nani asipenda kufanya kazi na hizi timu mbili kubwa? . Kafuatwa na Simba anayoishabikia akatae aisubiri Yanga?. Kweli UCHAWI sio lazima uruke na ungo.
 
Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo
Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka.

Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana.

Hiyo team ina laana sana na uchawi mwingi sana dogo anaenda kupotea
Umesema kweli... Diamond mchawi anabena nyota za wasani wanaoingia kwenye 18 zake kwa kigezo Cha kuwasaidia.

Mnakumbuka Harmonize alivyokua Mtwara ,wazee wa kijadi wakawa wanachinja Mbuzi na kufanya makafara makafara??.

Ile haikua ni Sanaaz Ukweli ni Kwamba, KONDE BOY ndio Msanii aliyemuweza Diamond kichawi.

Mnaona ka Rayvan, kanalazimila kua kama mbwa wakati wa uoga wake !!.
 
Umechelewa sana kuwajua, mashabiki wa Yanga Sc linapokuja swala la mtu kujitafutia riziki ni lazima wakunje.

Nabi alikuwa ni mzuri alipokuwa YangaSc ila kwasasa ni mbovu kwao kwasababu amefata pesa Morocco.

Feisal hawakutaka kabisa aende kwenye maslahi mazuri, kwasasa ni adui yao.

Wana ujinga mwingi mno hawa watu.
Na huyo Feisali dirisha ndogo anatimba Simba, Simba wameshafikia dau ya Azam, Azam ni wazuri sana hawanaga roho mbaya kwa maslahi ya mchezaji, dau ikifikiwa tu wanamwachia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema kweli... Diamond mchawi anabena nyota za wasani wanaoingia kwenye 18 zake kwa kigezo Cha kuwasaidia.

Mnakumbuka Harmonize alivyokua Mtwara ,wazee wa kijadi wakawa wanachinja Mbuzi na kufanya makafara makafara??.

Ile haikua ni Sanaaz Ukweli ni Kwamba, KONDE BOY ndio Msanii aliyemuweza Diamond kichawi.

Mnaona ka Rayvan, kanalazimila kua kama mbwa wakati wa uoga wake !!.
Watu wapuuzi huwa mnaamini uchawi kwenye kila jambo. Ile chai yako ya mchepuko wa kilokole naona ishachacha
 
Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo
Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka.

Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana.

Hiyo team ina laana sana na uchawi mwingi sana dogo anaenda kupotea

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwenye laana sana na uchawi panachekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]
 
Miiiithoooo thiiiiiiimbaaaaaaaa

5iiiiiithoooooooo 5himbaaaaaaaaaaaa
 
Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo
Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka.

Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana.

Hiyo team ina laana sana na uchawi mwingi sana dogo anaenda kupotea
Acha jamaa apige hela we unajua atavuma Hadi lini?
 
Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo
Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka.

Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana.

Hiyo team ina laana sana na uchawi mwingi sana dogo anaenda kupotea
itakuwa powa...
 
Point yako ingesema huenda akapoteza mashabiki wake ambao ni mashabiki wa Yanga angalau ingeleta mantiki

Ila ulivyoandika vyote ni pumba
 
Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo
Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka.

Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana.

Hiyo team ina laana sana na uchawi mwingi sana dogo anaenda kupotea
Ndio maana simba wamepigwa faini baada ya kuingia mlango usio rasmi mechi ya derby.
 
Back
Top Bottom