Misso Misondo anaenda kupotezwa nyota yake sababu ya Simba

Misso Misondo anaenda kupotezwa nyota yake sababu ya Simba

Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo
Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka.

Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana.

Hiyo team ina laana sana na uchawi mwingi sana dogo anaenda kupotea
Nimecheka sana sijui kwanini [emoji23]
 
Kwahiyo akikodiwa kufanya shoo akatae hata kama yeye si mpenzi wa Simba ?
Kwani maana ya mwanamuziki ninini?
 
Unaenda kuwanga kwenye nyumba ya mwarabu (Al ahly SC) huku umejifunga kaniki bila 👙.. Amekushtua paap mara kinyesi kule ... Hadi leo Tabulelee hajulikani alipo.
 
Nilitegemea uwapongeze Simba kwa kuwapa hawa madogo ridhki ,mbona mnakua na roho kubwa hivi?
 
Back
Top Bottom