Misso Misondo anaenda kupotezwa nyota yake sababu ya Simba

Nimecheka sana sijui kwanini [emoji23]
 
Kwahiyo akikodiwa kufanya shoo akatae hata kama yeye si mpenzi wa Simba ?
Kwani maana ya mwanamuziki ninini?
 
Unaenda kuwanga kwenye nyumba ya mwarabu (Al ahly SC) huku umejifunga kaniki bila πŸ‘™.. Amekushtua paap mara kinyesi kule ... Hadi leo Tabulelee hajulikani alipo.
 
Nilitegemea uwapongeze Simba kwa kuwapa hawa madogo ridhki ,mbona mnakua na roho kubwa hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…