msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,786
- 5,963
mara nying nlikua nazckilza nymbo za SUGU za kwenye album yake ya mwisho itwayo VETO juujuu,nldhan amefulia kmashair kama prof.jay lakin leo nimeicklza vzur sana kumbe jamaa bdo kchwa kwa mashairi..
Ifuatayo n baadh ya mistar ilyopo kwenye wmbo wake wa HOLD ON..
>"bado unacheza yan mpaka leo we unawaza kupendeza,
Na utapendeza vip bila fedha,
Amka kidume huu ndo muda wa kukaza,
Wasikilze watu ila usiwaamin watu,
Sababu ni haohao watu leo watakufagilia,
Kisha n haohao kesho watatangaza umefulia,
Hawaelew labda mwanangu umeamua tu kutulia".
KISHA KUNA WIMBO MWINGNE UNAITWA 'MCHAKAMCHAKA',BAADH YA MISTARI YAKE INASEMA HVI..
>"ni upuuzi kusema game haiuzi wakati unategemea kuuza tapes na cd,
Si tunauza mpaka lecture kwasababu tuna cv"..