Misukosuko ya William Ruto, ni matokeo ya itikadi yake ya usaliti

Kaka umenokosha sana umechambua vzr sana nataka kujuwa wew unaandikia gazeti gani na upo chombo gan cha hbr ili nikufatilie zaid inaonekana unazifatilia sana siasa za kenya

Swali langu kwako kwann gen z wa namchukia sana ruto
 
Mimi ni mfatiliajia mzuri sana wa Siasa za Kenya naweza kuhitimisha kuwa Ruto ni Mwanasiasa mwenye ngozi ngumu sana kwasababu hata kabila analotoka Kwa Kenya ni minority,
Amecheza izo Rough zote kufikia nafasi ya Juu pamoja na scandal Kibao za Rushwa ila still Ruto has managed to beat his opponents

The guy is real a hustler
 
Naona Riggy Gachagua anakwenda USA, Je anakwepa kukamatwa? Maana Ruto anaamini maandamano ya GEN Z yana Gachagua nyuma yakeView attachment 3400129View attachment 3400129
Rigahthi was expected to be arrested ili aweze ku draw attention lakini they have let him go,
Hii Inatokea baada ya Ruto Juzi kutangaza he will go After wanao fund izo maandamano, ambapo Rigathi anahisiwa Kuwa ni financier wa izo protest za Gen z na ndio Ruto men walitumia iyo Sababu zaidi Kumfanyia Impeachment.

Rigy G inasemekana ameenda kuonana na wafadhili wake huko Majuu.
 
Nakubaliana na hiyo summary kwa 💯 %
 
Kaka umenokosha sana umechambua vzr sana nataka kujuwa wew unaandikia gazeti gani na upo chombo gan cha hbr ili nikufatilie zaid inaonekana unazifatilia sana siasa za kenya

Swali langu kwako kwann gen z wa namchukia sana ruto
Mimi siyo mwandishi, ni mdau tu wa JamiiForums, halafu Kenya nimepita pita kikazi between 1994-2015. Nawafahamu nje ndani.

Gen Z wanamchukia Ruto kwa sababu aliwaahidi mambo mengi wakati wa kampeni kwa ile sera yake ya "hustler". Lakini alipopata madaraka mambo yamekuwa ndivyo sivyo. Kodi zimepanda, unga bei juu, unemployment rate imeongezeka, na corruption ndiyo usiseme
 
Una akili sana ndugu yangu!
ubarikiwe wewe na kizazi chako..
nafikiria hii reply yako nii fanyie lamination
Itakuwa vyema, maana Watanzania wanashabikia tu vitu wasivyovijuwa
 
Kwan Tundu ana taka kwa njia ipi ?
Maandamano na fujo kama Gen Z wa Kenya. Ndiyo maana wakaja wale ma activists kwenye kesi yake; Boniface Mwangi, Agatha, Martha Kairu na Dr Willy Mutunga Ex-CJ
 
Ni mwanafunzi wa Daniel Arap Moi, ila aka upgrade kwa kuingiza hila na unafiki wa Raila
 
Ngoja tuendelee kulnywa mtori, tusubiri kupata nyama chini
 
Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu ila masilahi ya kudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…