Uchaguzi 2020 Misungwi: Alexander Mnyeti hajapita bila kupingwa, Mgombea wa CHADEMA ameteuliwa kupambana naye

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni kweli kwamba Mgombea wa CHADEMA, Mwl Shija alivamiwa na watu waliotumwa kumpora fomu ili akose uteuzi kwa malengo ya kumpitisha Mnyeti bila kupingwa lakini alichoporwa ni fomu feki.

Amewasilisha fomu halisi kwa Mkurugenzi na ameteuliwa, anazo nyaraka zote za tume za kumtambulisha kama mteule kwa hiyo hizo porojo kwamba Mnyeti kapita bila kupingwa zipuuzwe, atalazimika kuutafuta ubunge jukwaani.


Your browser is not able to display this video.
 
Tuna mfano mzuri wa Ukara kisiwani, nendeni mkamzike mliyemtuma na muilipe fidia familia yake nyang'au nyie.
Inaweza kuwa kikundi kutoka wapinzani wake kwani huko wana Historia ya kupeana sumu ya mamba n.k
 
Mtoto wa shetani ni shetani pia. Ule uzoefu nunuax2 Meru
 
Sio alitengeneza sinema, maana saccos ni mabingwa wa kutengeneza sinema za kihindi
Mmepigwa kekundu wapuuz nyie mmechukua copy mkaacha form original wajinga kweli na hio ndo dawa yenu
 
Kama mtu anaweza kuangushwa na konyagi kwa ulevi wake, alafu akatangazia dunia ameangushwa na wasiojulikana bila shaka hawezi kushindwa kutunga orodha feki ya watu kupita bila kupingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…