Uchaguzi 2020 Misungwi: Alexander Mnyeti hajapita bila kupingwa, Mgombea wa CHADEMA ameteuliwa kupambana naye

Uchaguzi 2020 Misungwi: Alexander Mnyeti hajapita bila kupingwa, Mgombea wa CHADEMA ameteuliwa kupambana naye

Huyu kupita bila kupingwa inanikera sana ina maana huyu ni mbunge wa tume ya uchaguzi na wananchi bora kama inatokea hivi na tena kiuhalali bora zikapigwa kura za ndiyo na hapana lakini si kwa uhuni huu unaofanywa na mboga mboga.
Mwanzilishi wa huu ujinga ni bwana mkubwa mwenyewe
 
Mnyeti ni kikosi kile kile cha uhuni anacho kilea JPM ndio hao kina Nakonda na Sabaya. Sijaona rais anae jificha nyuma ya kivuli cha Mungu na kuwa na makando kama huyu.
 
Kuvamia na kupora fomu ni idea ya Ole Sabaya naona CCM wote wameunga mkono
 
Ni kweli kwamba Mgombea wa CHADEMA, Mwl Shija alivamiwa na watu waliotumwa kumpora fomu ili akose uteuzi kwa malengo ya kumpitisha Mnyeti bila kupingwa lakini alichoporwa ni fomu feki.

Amewasilisha fomu halisi kwa Mkurugenzi na ameteuliwa, anazo nyaraka zote za tume za kumtambulisha kama mteule kwa hiyo hizo porojo kwamba Mnyeti kapita bila kupingwa zipuuzwe, atalazimika kuutafuta ubunge jukwaani.


View attachment 1548289
Huyu mgombea wa upinzani katengeneza drama ili kuichafua CCM
 
Huyo mgombea alicheza kama KGB kutegesha fomu fake,,mi nashangaa hao wanaoporwa wanakuwa hawajui huu ndo msimu wa kukaa chonjo masaa yote,,,
True meaning of Wary Transgressor.
Definition of wary
: , cunning, and watchfulness especially in detecting and escaping danger
 
Pia mnyeti hatoboi
Subutuu pale misungwi Ni himaya ya kijani, Yani wapinzani hesabuni maumivu kwenye mikoa ifuatayo:- Mwanza,Geita,Tabora Dodoma, kwenye mikoa hiyo, CCM watamaliza kazi mapema Sana.
 
Kama haya mabarabara, madaraja na majumba yangekuwa na maana kubwa hivyo, kwa nini wateke wagombea wa vyama vingine eti wapite bila kupingwa? Wanajua kuwa madaraja hayagusi mioyo ya watu.
Mfanye biashara msingizie wagombea wametekwa, hivi chadema mna shida gani lakini?
 
Back
Top Bottom