Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #41
Majaliwa katia aibu isiyopimika ! Waziri Mkuu unashiriki kuteka wapinzani ! sijawahi kuona popoteUhuni ndo lugha sahihi ya kinachoendelea, Mpaka waziri mkuu alikuwa ni mtu namheshimu sana lakini naye ameshiriki vitendo vya kiharamia ili naye apite "bila kupingwa"
Yani ilikua anaonekana ni MTU mwenye hekima na busara sijui kwa nini aliamua kuingia ktk huu mtegoUhuni ndo lugha sahihi ya kinachoendelea, Mpaka waziri mkuu alikuwa ni mtu namheshimu sana lakini naye ameshiriki vitendo vya kiharamia ili naye apite "bila kupingwa"
Acheni drama za kitoto. hakuna mgombea yoyote anaetekwa.Kama haya mabarabara, madaraja na majumba yangekuwa na maana kubwa hivyo, kwa nini wateke wagombea wa vyama vingine eti wapite bila kupingwa? Wanajua kuwa madaraja hayagusi mioyo ya watu.
Na ndio maana nasema, itakuwa vigumu Sana chadema kupita.Ukiachana na hoja yako ya vilaza wengi, hoja ya ukabila naipa kipaumbele Sana.!Huko kuna vilaza wengi sana
Umesema ukweli ndugu yangu. Wazazi wangu kule ndani ndani kijijini huwezi kumshawishi akupigie kura kwa kumtajia kununua ndege 11, na kujenga madaraja ya juuKama haya mabarabara, madaraja na majumba yangekuwa na maana kubwa hivyo, kwa nini wateke wagombea wa vyama vingine eti wapite bila kupingwa? Wanajua kuwa madaraja hayagusi mioyo ya watu.
Ovyo sasa ndo umeandika nini? Andika hoja zenye mantiki. Achana na matusi
Wengi huuawaNnachojiuliza tu, ni hao watekaji waliofeli na pesa ya watu wamekula! Hawajachezea makofi kweli?!
kwan maadili yaliwahi kuwepo ?Uhuni huu utaisha kwa Watanzania kuukataa tu. Ajabu kuna kundi kubwa wanaushangilia kwa vigelegele. Maadili yetu kama Taifa yamekwenda wapi?
Hata mauzauza yanapatikana hapa Tanzania pekee Duniani.Tafsiri ya kupiga bila kupingwa ni IPI?Ninavyoelewa miye ni kwamba kunakuwa hakuna aliyejitokeza kuchukua fomu.Hawa wagombea waliopitishwa bila kupingwa kwa msamiati wa kiccm wote wanatabia au hali zinazofanana,Mara zote huwa ni CCM,wenye madaraka serikali ni au fedha nyingi za kuhinga wagombea wengine toka upinzani ama wasimamizi/wajumbe.Tujiulize,ukiwa na akili zako timamu utaamini kuwa bado wanafaa kuwa viingozi?Ni kweli kwamba Mgombea wa CHADEMA, Mwl Shija alivamiwa na watu waliotumwa kumpora fomu ili akose uteuzi kwa malengo ya kumpitisha Mnyeti bila kupingwa lakini alichoporwa ni fomu feki.
Amewasilisha fomu halisi kwa Mkurugenzi na ameteuliwa, anazo nyaraka zote za tume za kumtambulisha kama mteule kwa hiyo hizo porojo kwamba Mnyeti kapita bila kupingwa zipuuzwe, atalazimika kuutafuta ubunge jukwaani.
View attachment 1548289
Hao vilaza ndo wanaokuchagulia mme wakukuoa mjinga mmoja wee.Huko kuna vilaza wengi sana
Wote wanaosemekana kupita bila kupingwa imekuwa hivyo kwa hila. Ni uhuni mtupu!Uhuni huu utaisha kwa Watanzania kuukataa tu. Ajabu kuna kundi kubwa wanaushangilia kwa vigelegele. Maadili yetu kama Taifa yamekwenda wapi?
Walitumwa na Mnyeti, tena hao ni warundi inavyosemekana,Ni kweli kwamba Mgombea wa CHADEMA, Mwl Shija alivamiwa na watu waliotumwa kumpora fomu ili akose uteuzi kwa malengo ya kumpitisha Mnyeti bila kupingwa lakini alichoporwa ni fomu feki.
Amewasilisha fomu halisi kwa Mkurugenzi na ameteuliwa, anazo nyaraka zote za tume za kumtambulisha kama mteule kwa hiyo hizo porojo kwamba Mnyeti kapita bila kupingwa zipuuzwe, atalazimika kuutafuta ubunge jukwaani.
View attachment 1548289
Labda hata wale wa July 2017 wameshachezeaga risasi siku nyingi!!Wengi huuawa
Kwny aina ya demokrasia hii ya kunyang'anyana form inaangukia kundi gani?Huyo mgombea alicheza kama KGB kutegesha fomu fake,,mi nashangaa hao wanaoporwa wanakuwa hawajui huu ndo msimu wa kukaa chonjo masaa yote,,,
True meaning of Wary Transgressor.
Definition of wary
: , cunning, and watchfulness especially in detecting and escaping danger
Kwny hio biashara wanunuzi ni wakina nani?Mfanye biashara msingizie wagombea wametekwa, hivi chadema mna shida gani lakini?
Kuna wahuni hapa JF waliweka hii picha mkuu.Umesema ukweli ndugu yangu. Wazazi wangu kule ndani ndani kijijini huwezi kumshawishi akupigie kura kwa kumtajia kununua ndege 11, na kujenga madaraja ya juu
kwa jinsi watanzania wengi walivyo wajinga huwa naona bora ccm iendelee kuwafisadi tu, maana mijitu haijitambui.Uhuni huu utaisha kwa Watanzania kuukataa tu. Ajabu kuna kundi kubwa wanaushangilia kwa vigelegele. Maadili yetu kama Taifa yamekwenda wapi?