Misururu mirefu na misongamano ya vijana kujiandikisha kujiunga na Chama cha Mapinduzi ni mikubwa mno. Hongereni sana vijana Tanzania

Subiri uchaguzi ufike uone mtakavyoangaika.
CCM ushindi wa kishindo ni Lazima,

wahangaikaji wanajulikana miaka nenda, miaka rudi kila baada ya uchaguzi, na hakuna wanachosaidika nacho πŸ’
 
Ikiwa wale ni wahalifu vipi wale wa mbogamboga wanaokwapua mabillion kwenye fedha za maendeleo ya taifa na zingine zikiwa ni za mikopo kabisa? Are you in your right senses bro?
 
Picha tafadhali........hii habari itanoga tukiona picha ya misururu mirefu...bila hivyo ni uongo kama uongo mwingine tu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mmesababisha vijana wanaishi maisha magumu, hakuna ajira na fursa pekee imebaki kuwa na kadi ya chama ili wapate huruma ya chama waandikiwe vimemo wakapewe kazi na wengine muwasajili kwenye ile politic wing yenu pale makumbusho.
 
Na kukubalika kwenu lakni bado hujiamini kwenye uchaguzi huru na haki bila ya figisu za kutumia polccm, kupita bila kupingwa, kuteka wagombea wa upinzani, kura kuhesabiwa kituoni kwa uhuru na kila moja kuthibitisha matokeo, n.k.
 
Picha tafadhali........hii habari itanoga tukiona picha ya misururu mirefu...bila hivyo ni uongo kama uongo mwingine tu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
tembelea ofisi au tawi la CCM lilio karibu nao, au tembelea wanapoboresha daftari la kudumu la wakupiga kura, utashuudia ukweli huu bayana πŸ’
 
Na kukubalika kwenu lakni bado hujiamini kwenye uchaguzi huru na haki bila ya figisu za kutumia polccm, kupita bila kupingwa, kuteka wagombea wa upinzani, kura kuhesabiwa kituoni kwa uhuru na kila moja kuthibitisha matokeo, n.k.
CCM haiwezi kufanya kazi vizuri huku magenge ya kihalifu kama kule mbeya yakipanga kuvuruga amani na utulivu wa wananchi,

jeshi la police nchini limefanya kazi nzuri sana kudhibiti uhalifu ule na kuusambaratisha,

na kwa mbahati nzuri kwahuruma na maagizo ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan, wahalifu wale wamekiri kutorudia tena kupanga uhalifu, na sasa wameachiwa Huru πŸ’
 
Mko wangapi mmepewa habari hii kuisambaza? Au ni wewe mwenyewe kwa majina tofauti?
 
Mmesababisha vijana wanaishi maisha magumu, hakuna ajira na fursa pekee imebaki kuwa na kadi ya chama ili wapate huruma ya chama waandikiwe vimemo wakapewe kazi na wengine muwasajili kwenye ile politic wing yenu pale makumbusho.
epuka uvuvi na kulalamikia ajiara wakati mazingira ya biashara ni mazuri ajira za kumwaga, mashambani hali ni nzuri vijana wengi wasomi wanatajirikia huko hivi sasa, ufugaji, uvuvi, usafirishaji n.k....

msomi halafu unalalamikia ajira kweli, sasa umesoma nini gentleman πŸ’

kwahiyo unapanga kwenye kujiunga na vyama vyenye mirengo ya kihalifu kama kule mbeya right?πŸ’
 
Mko wangapi mmepewa habari hii kuisambaza? Au ni wewe mwenyewe kwa majina tofauti?
actually,
kusambaza upendo, ukweli na uwazi hakuhitaji kua na kundi au makundi ya watu,

ni neema na Baraka za Mungu tu zinatoshaπŸ’
 
Ikiwa wale ni wahalifu vipi wale wa mbogamboga wanaokwapua mabillion kwenye fedha za maendeleo ya taifa na zingine zikiwa ni za mikopo kabisa? Are you in your right senses bro?
mambo ya kusadikika yabaki tu kwenye kupotoshana wakati wa kupoteza muda kwenye stori na porojo kuhusu vyama vya kisiasa....

kudeal na uhalifu hakusubiri madhara kutokea wala hakuna stori na porojo na magenge ya kihalifu,

kuchukua hatua muhimu dhidi yao na kuyasambatatisha kama ambavyo imetokea mbeya πŸ’

hata hivyo,
huruma ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan imewafanya wakiri kujitenga na kusudio la kihalifu na sasa wako huru πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…